Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 1, 2022

SOMO;JINSI YA KUMSAINDIA BINT ANAEKAA NA MWANAUME

SOMO; JINSI YA KUMSAINDIA BINT ALIYEJIOA MAANA YA BINT KUJIOA; Ni Kukaa na mwanaume ambaye hajatoa mahari. SABABU ZILIZOMFANYA BINT AKAKAE NA MWANAUME. 1:MAISHA MAGUMU NYUMBANI HATA KWAKE. Hii siyo sababu ya msingi kwa bint anayejielewa hawezi kuuza uthamani wake kwa ugumu na mapito akaanza kuzini na kujiozesha bure. Yeremia;9;20 Ulitakiwa uombe na tafuta shughuli ya kufanya. 2;ATAENDA KUTOA MAHALI ACHA NIMZALIE KWANZA. Jifunze kwa Lea au Rebeka hata Eva Wewe unawezaje kuzaa mtoto kwenye uzinifu au kwenye dhambi ambayo unaijua Sababu mpaka mwanaume unaanza kukaa naye anakuzalisha watoto hata akija kukuacha Sababu Ameshakuharibia ubint wako Maono yako. Usikubali mwenyewe kukaa na mtu asiyekutolea mahari au kuzini nae. Mwanzo;29;6 3;UMRI UMEENDA. Hii siyo sababu ya kukufanya uthamani wako na ubint wako uuze kisa umri umeenda unaamua kukaa na mtu ambaye hajakutolea mahari. Hutakiwi ujirahisishe wewe ni wa thamani. Kwa sababu Mungu amekuambia atakupa wa kufanana naye usijisu...