SOMO: UTOFAUTI YA MKE MWEMA
✍️✍️DARASA LA WANANDOA +18✍️✍️ ✍️✍️SOMO; UTOFAUTI WA MKE MWEMA NA MKE ASIYE CHANGUO LA MUNGU. Mithali;31;7-11 Mithali;14;1-4 ✍️✍️ MWALIMU PASTOR RICHARD Nipo Morogoro Veta Dakawa ✍️✍️ WhatsApp+255759861768 ✍️MAANA YA MKE MWEMA✍️MME MWEMA ✍️✍️MKE MWEMA Ni mke unayepewa na Mungu Baada ya kusungua ngoti na Kumlilia. ✍️✍️ANAPATIKANA WAPI MKE MWEMA: Kwenye nyumba za ibada huwezi kumpata uchocholoni au disco au bar au nje ya nyumba za Ibada. ✍️ MAANA YA MKE WA SHETANI✍️MME WA SHETANI ✍️✍️MKE AMBAYE SIO MWEMA Ni mke ambaye unampata bila Maombi unakutana na kuazisha uchumba bila kusungua ngoti Huyu hupatikana kwa matamanio Yetu na Akili Zetu kwa muonekano wa nje tu. ✍️✍️ANAPATIKANA WAPI MWANAMKE H...