Maombi Ya Kutengua Mitengo waliokufunga kwa Siri
🗣🗣 MAOMBI YA KUTENGUA MITENGO YA KICHAWI WALIOKUUNGANISHA KWA SIRI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO 👄👄🔥🔥 Karibu Maombi haya Uwe Unaomba Kila Mara Pia Rudiarudia kabla ujaanza Ita Damu ya Yesu ikufunike halafu vaa siraha zote katika ulimwengu wa roho. Navaa Mwili wangu Richard Motoo Mawazo yangu Moto mavazi yangu Moto matamshi yangu Moto Nashusha MALAIKA wa Moto wanizunguke MALAIKA wa pelelezi wakafichue Kila siraha wakamate Kila waliokuwa wamenjega uharibifu ndani ya nafsi yangu nguvu ya upako wa kuvurunga Kila mapando Yao kwenye moyo wangu wachie kwa jina wapondwe wapondwe Kila nguvu zao zilizokuwa zimenifunga kwenye maamuzi yangu uchumi wangu kazi yangu Uzao wangu waachie Leo hii Kama walizoea kunifunga Kupitia ndoto nafichua nishawajua Siri zao ndoto zao waliounganisha na mwili wangu Kuanzia kimwili kiroho Mimi sio wa maisha haya wewe jini uliyefugamanishwa na nafsi yangu pingwa kwa jina la Yesu Achia Achia Kila m...