Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba 9, 2018

SOMO: HATUA ZA UCHUMBA KWA ANAETAKA AFIKE HATUA YA NDOA

Picha
🔥🔥 *SOMO:HATUA ZA UCHUMBA WA MTU ANAZOTAKIWA AZIPITIE* 🔥🤣 _DARASA LA WANANDOA_ 🔥🤣 Mwanzo;2;20-24 1wakoritho:1-13 🔥🔥MWAL: Pastor Richard 🔥🔥Mwadaaji: Pastor Richard 🔥🔥Lengo; Kuponya uchumba Usio na Msingi wa kufikia ndoa 🔥🔥Hatua za Uchumba ni nini? ni mtiririko unaotakiwa uipitie ili kufikia Hatua ya ndoa na kujenga familia bora 🔥🔥Kupitia Hatua Hizi Jipime Ujiangalie Mahusiano yako yapo wapi 🔥🔥Kuna misingi mitatu inayojenga ndoa iliyobora. 👉🏼✍🏾Hatua ya kwanza Kuwa Marafiki  yaani Boyfrd na Girlfriend 🔥✍🏾Hatua hii huwa wawili hawa wanakuwa hawajaenda kutambulishana kwa MCHUNGAJI au Wazazi wanaokuwa wanajua Marafiki Tu au wazazi wanakuwa wanasikia ✍🏾✍🏾UJUE HIYO HATUA KAMA UPO Nyie sio wachumba na nyie si watu mnaopaswa kuzini au kufanya chochote maana muda wowote kati Yenu anauwezo wa kubadili maamuzi ✍🏾✍🏾UZURI WA HATUA HII✍🏾✍🏾 1;Kufahamiana kitabia na huruka zenu 2!Kuanza kuweka malengo na mikakati ya kuingia kwenye uchumba 3!Kumjua mwezako...