Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 6, 2020

SOMO; SAUTI YA MUNGU Sikia

✍🏾✍🏾🔥🔥SOMO; SIKIA SAUTI YA MUNGU NAFANYIA KAZI SAUTI HIYO🔥👏🏽👏🏽 Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi ✍🏾1Wafalme:18;23-43✍🏾1Samweli:8;7-23' 28;12-23🔥Mwanzo;3:8-17          ✍🏾✍🏾🔥 UTANGULIZI🔥🔥👏🏽👏🏽 Sauti ya Bwana au Sauti ya Mungu Ni Sauti inayokuijia kwa malengo makuu manne TU 1:Kukuonya Utaona wazo au fikira ndani yako zinakuja Kama zinakuonya na kukemea uache bila kukupa Sababu au maelezo mengi 2;Kukuongoza Utaona wazo au fikira zinakuja zikikupa mwanga Nini Ufanye na Kukuelekeza uende wapi kanisani ukaongee na Mchungaji au ufanyaje. Sauti hiyo haitakuwa na sababu au maelezo mengi. 3;Kukueleza Utasikia wazo au fikira inakuja kwa njia ya Kukuelekeza Nini Ufanye njia na madhabahu itakayokuponya au Tatizo lako Lilivyo Sauti it...