MAOMBI YA KUOMBA UKOMBOZI
MAOMBI YA KUOMBA MTU ANAEUMWA MIGUU NA MIKONO. Mambo Ambayo AZingatie 1:Anunue mafuta ya mgando mapya 2:Awe Miguu inawaka Moto na mikono 3:Ayaombee mafuta na anapaka kila Baada ya Kuonga 4:Apake Kuazia chini ya Miguu kupanda juu mpaka magotini 5;Mikono Apake viganja kwa nje na ndani. 6;Yashike Juu mafuta unapoombea Jinsi Yakuombea Mafuta hayo. B"Hata nitawaweka Adui Zangu nitawaweka chini ya Miguu Yangu 1wakoritho:15:25 Ninaamuru mafuta haya yageuke yawe uponyaji Yawe Uzima Kila Uchawi uliotengeshwa Barabarani na Umeunganishwa na Miguu Yangu na mikono naivua Kwenye Miguu na mikono Kuazia Leo Mafuta haya yakafute kila uchawi ndani Yangu Kwa Jina la Yesu 🙏Amen. Rudia Mara 7 MAOMBI YA KUOMBA KWA MTU ALIYEBUBU NA KIZIWI MTU MZIMA. Mambo YAKUZINGATIA unapojifungua 1:Shika masikio Yako Kupitia kidole Kuingiza masikioni 2:Fanya Zoezi unatoa Kwenye sikio nakuigiza kidole wakati Unaomba 3:Bubu shika Kinywa chako Kupitia vidole vyako Unapoomba natoa Sauti 4:Fany...