Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni 2, 2021

SOMO: MBINU ZA MAOMBI

DARASA LA UJUNZI WA KUOMBA  SOMO: MBINU ZA MAOMBI 1wafalme:8:28-45, Zaburi:6;9,๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ17:1,๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ39:12 Kuna mtu mmoja Anajiuliza Kwanini Ufalme wa ngiza Bado unamtawala Wakati Kuomba Anaomba Sana TU Hakuna Unafuu Karibu Ujifunze Mbinu na Tarata Ya Kuomba Katika Maarifa. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa WhatsApp Number+255759861768 MAANA YA NENO MBINU ZA MAOMBI Ni ujuzi wa kuwasilisha mahitaji mbele za Mungu nakupokea. MBINU ZA MAOMBI ๐Ÿ‘‰๐ŸฟMaarifa ya uombaji kwa mtu anaeomba SABABU YA SOMO HILI KUFUNDISHWA Ni kumuwezesha mwanamaombi aombe Vizuri na alete MATOKEO Ni Kuuteka ulimwengu wa Roho Mtakatifu Nakuumiliki Ni Kuwa mtawala na Mmiliki wa Ushindi wa Maisha Ya Kiroho. KUNA MAKUNDI MAWILI YA UTAALAMU NA UJUZI WA KUOMBA 1:MBINU YA MAOMBI YA KIJESHI๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ{1samweli;17:25-58) ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️ 2:MBINU YA MAOMBI YA KIFALME๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ{Esther:2, Yakobo;2;8,1Nyakati;29;25 ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️ 3: MBINU ZA MAOMBI YA KIKUHANI๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ{Kutoka:19;6-24 Waebrania:7;10-28} ✔️✔️✔️✔...