SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.
SOMO: ADUI NA JINSI YA KUMPIGA ADUI YAKO Tufungue Biblia Zetu ✍️✍️ISAYA: 26;12✍️LUK;1;71-75✍️WARUMI:8;7 ✍️MATHAYO: Kuna Kipindi Adui auTatizo linaweza Kuwa Nguvu Likapata Kukuzidi likakushida Kwa Kukosa Kuwa na Maarifa ya Kupambana nae Kiroho au KIMWILI Lakini Leo Nataka Nikufundishe Jinsi Ya Kuliangusha Tatizo lako Karibu Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Unaweza Fatilia Masomo haya hapa 👉www.mchungajirichardi.blogspot.com Facebook; MOTO WA Yesu YouTube: Moto wa Yesu Pastor Richard WhatsApp+255759861768 Karibuni Wote Kupindi Ni Neno la Mungu Lengo la SOMO;✍️👉Kukupa Mbinu ya Ushidi Dhima Yetu MOTO WA Yesu✍️👉 Ni Ukombozi kwa Watu Wote. MAANA YA ADUI; Adui ni Nini..? Adui Ni Shetani. Shetani Ni Roho. Roho humwingia mtu nakufanya au Kumfanyia mwezake Mambo mabaya ya Kishetani Bila mtu kujua anatumiwa na Shetani au Anamuwakilisha Shetani Kw...