Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 19, 2021

TABIA 10 ZA WANAUME ZINAZOWAKERA WANAWAKE

TABIA 10 ZA WANAUME AMBAZO HUWAKERA WANAWAKE NDANI YA NDOA Karibu Mwanandoa Tujifunze kitu na Kama wewe mwanaume Utajielewa Wewe Ni Aina ngani ya mwanaume Hebu Badilika ili ujenge Ndoa Yako ikae vizuri Iwe na Amani kama za Wegine Mimi Naitwa Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard NIPO Morogoro veta Dakawa Simu+255759861768 1. Wanaojiona Kama Wafalme (King Husband). HIi ni aina ya wanaume ambao hutaka kusujudiwa kama wafalme na hupenda kuwafanya wake zao kuwa kama watumwa. Hawafanyi chochote ndani ya nyumba kazi yao ni kutumatuma hata kama mke anaumwa atapaswa kuamka na kupika, wanataka waheshimiwe wao tu na mwanamke akikosea kidogo ni maneno au kipigo. Mwanamke hana kauli ndani na mume akiingia nyumbani ni kama bosi anavyoingia ofisini, wote kimya hakuna hata kuongea. 2. Wanaume Wanaojihisi Bado Hawajaoa (Bachelor Husband). Hii ni aina ya wanaume ambao hawawashirikishi wake zao kwa chochote. Hufanya mambo kama vile bado hawajaoa, hutumia muda wao mwingi na marafiki zao wakifanya m...