MAMBO 5 YANAYOWEZA KULETA NDOA YENYE AMANI. Habarini Wadau na Wasomaji wa nakala za Wanandoa Tuongee+18 Ninataka niongelee Jambo la mhimu kwako wewe ambaye upo kwenye mahusiano au ndoa inawezekana unapitia machozi kwenye mahusiano kwa kuwa hukuwahi kusikia Mahusiano au uchumba ndio hujenga msingi mwema wa ndoa njema ukikosea ni kazi kurekebisha ukiwa kwenye ndoa Naitwa Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard nakualika. MAMBO HAYA UYAFANYE KABLA YA KUINGIA NDOA. 👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆 1:MAHUSIANO YASIYOELEWEKA NI BORA UYAVUNJE KULIKO KUINGIA KWENYE NDOA ITAKAYOKULIZA MILELE. Ukiona unatumia nguvu nyigi kulazimisha upendo au unaumizwa na kusalitiwa mara kwa mara halafu unamurudia yule yule anayekuumiza mkiwa kwenye steji ya uchumba ujue unajulishwa huyo mtu kwenye ndoa mtasumbuana tu. ●●●●●●●●●●●●●● 2.UTAKAVYOPATIA KUCHANGUA NDIVYO UTAKAVYOPATIA KUJENGA NDOA YENYE AMANI NA FURAHA. Unajua kuna mahusiano watu wanaanzisha wakiwa hawana malengo yoyote ghafla wanapeana mimba wanachukuana wanaanz...