Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 29, 2025

SOMO;MAOMBI YA MJAMZITO ALIYEPITILIZA MUDA WA KUJIFUNGUA

   SOMO : MAOMBI YA MJAMZITO                 ALIYEPITILIZA MUDA WA KUJIFUNGUA. Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro  Nipo Kanisa la Holy Spirit church Tanzania  Ni Askofu na Muasisi Wa Makanisa haya Makao Makuu Morogoro Veta Dakawa  Huwa Kunasababu mbili Ambazo zinaweza mama mjamzito zikakufanya ukapitiliza Muda wa kujifungua. 1;Tatizo la Kiafya: Hii husababishwa na mtoto kutokugeuka au njia za uzazi kutokufunguka 2:Nguvu Za Kichawi: Hawa ndiyo Wale hukaa mwezi mwaka hawazai ndiyo Wale wanaota mandato ya ajabu ajabu nakuona Vitu vya Ajabu. Pia hutokea hali ya uchungu lakini hawajifungui na wegine hukosa nguvu wakati wakisukuma mtoto . UONAPO HAYA NILIYOYAANDIKA WEWE UMEBEMBA KIZUIZI NA UKIWA MZEMBE KUOMBA UNAWEZA KUUA KICHANGA TUMBONI. "ZINGATIA HAYA" 1:SHIKA TUMBO LAKO KWA CHINI KWA MIKONO YOTE. 2;UKIJIFUNGUA SALAMA BAADA YA HAYA MAOMBI UTATUMA SADAKA NZURI 1️⃣   soma huu mstari HOSEA;13:13  "Utungu kama ...