Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 4, 2021

UFAFANUZI WA NEBO YA KANISA LA HOLY SPIRIT

UFAFANUZI WA NEBO YA KANISA LA HOLY SPIRIT 1:Rangi Nyeusi👉🏿Ni Watu waliofungwa na ufalme wa ngiza na wasijielewe Wala Kupata Ufahamu kuwa Wameufungwa 2:Rangi Nyeupe👉🏿Watu Hawa wameaza Kupata ufahamu Na wanaanza kuifata Huduma hii ya Roho Mtakatifu nakujiuga nayo 3:Rangi ya Njano👉🏿Ni Watu Hawa Wanapokea nguvu ya Roho Mtakatifu Yenye Asili ya mabadiliko ndani Yao inayoanza Kuwabadilisha Katika Tabia za Asili nakuwapa Uweza. 4:Rangi ya Kahawia👉🏿Watu Wanafurahia Mabadiliko ya Kiroho na Kimwili wanayoyapata Baada ya Kufundishwa Neno la Mungu. 5:Watu Wanaoneka kwa mbali👉🏿Ni Watu waliotoka kwenye mateso Vifungo wakiipokea Huduma ya Roho Mtakatifu 6:Njiwa 👉🏿Inamaanisha Asili ya Huduma Ni Roho Mtakatifu Ambaye huwabadilisha Fikira zao na Mawazo Yao kuwapa hofu ya Dhambi. MOTTO; Moto wa Yesu Ukawake Kila Kona Zaidi Ya Jana