Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba 2, 2024

MAOMBI YA KUAMBATANA NA WATU SAHIHI

SOMO; MAOMBI YA KUABATANA NA RAFIKI SAHIHI. Kuna marafiki wengine unaweza kuwa nao pasipokujua kumbe katika ulimwengu wa roho ni Antena za kichawi Adui Anawatumia marafiki ulionao Akunase kwenye Eneo lake. Siyo Kila rafiki ukajua ni rafiki mengine mapepo yanajivisha sura za marafiki zako kwa kuwa huombi na hujuagi kuomba unaweza ukashagaa toka umeshikana nae urafiki maisha yako yanazidi Kuharibiwa. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Kanisa la Holy Spirit church Tanzania  WhatsApp Group la Maombi na Mafundisho +255759861768 MAOMBI HAYA TUNASIMAMIA                  "Mithali 18:24 "  Ajifanyiaye rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe; Lakini yuko rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu. ✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍ ZINGATIA HILI; ============ Hakikisha Unapuguza marafiki wanaokupa hasara au ukiwa nao ndiyo majanga yanaongezeka Ambatana na marafiki unaona ukiwa nao unapiga hatua ya kiroho na unakuwa na ukaribu na Mungu. NAMNA UTAKAVYOO...