Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 31, 2020

Somo; NGUVU YA FUNGU LA KUMI

SOMO: NGUVU YA FUNGU LA KUMI KWA ANAEFATA MAELEKEZO. Malaki:3;10 Kumb.Torati:14:22 Kuna Watu hawawezi Kuinuliwa au maisha Yao kubadilika Kutokana na wizi na tamaa za kula Fungu la kumi. Kuna watu Wengine wataendelea Kubarikiwa Kuinuliwa Kutokana wameweka Namba moja Katika Fungu la kumi. Nilisema Kwa wale mlioanza mwezi huu Kuwa mnatuma Zaka Zenu Katika Madhabahu ya Moto wa Yesu Tunautaratibu huu. Kabla hujaituma Sadaka Yako ya Fungu la kumi Omba Maombi matatu yanayoumiza Kichwa Chako Mfano: 1:Nataka nipate MKE mwezi huu 2:Nataka niongezwe mshahara wangu 3:Mungu uinue Huduma yangu Kupitia Sadaka hii ya Fungu la kumi mwezi huu. BAADA ya hapo tuma kwa M-PESA+255759861768 Jina Richard Julius Kushoka Kama Upo nje ya Tanzania Marekani nk Tumia Bank ya Posta Jina RICHARD Julius Kushoka 👉 nchi Tanzania FAIDA ZINAZOTOKANA NA WANAOTUMA FUNGU LA KUMI 1:Utawaona Adui zako wakishindwa. 2:Utapokea Baraka mbalimbali (Mfano Shuhuda unazoziona watu wengi wanafunguliwa Kupitia Sad...