Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 3, 2021

MAHUSIANO YA SADAKA BARAKA NA ULIZI

SOMO; MAHUSIANO YA SADAKA BARAKA NA ULIZI Kanisa la Moto wa Yesu Morogoro veta Dakawa - Wakristo wengi tunajitahidi kutoa sadaka kwenye uso wa Mungu lakini ukweli ni kwamba hatujui maana halisi ya tunacho kifanya kwenye uso wa Mungu, kwa sababu kama ningelijua nguvu iliyoko ndani ya sadaka katika maisha yangu ningelitoa kipaumbele katika utoaji wa sadaka. - Sadaka ni ulinzi wa mambo yafuatayo katika maisha ya mtu anaye mtegemea Mungu :    i). Afya   ii). Uchumi   iii). Familia   - Kinacho leta shida katika maisha ya Wakristo hawajajua usahihi wa sadaka katika nyumba ya Mungu, na jambo hili shetani amepofusha macho ya watu wengi ili wasitambue uthamani,kwa sababu chanzo cha baraka za mwamini ni madhabahuni. - Maisha ya watu wengi wanaomwamini Mungu yanaathirika kwa sababu ya kutokutii agizo ambalo Mungu analizungumza katikati yao kupitia madhabahu.  - Ufalme wa Mungu umesimama ndani ya madhabahu kwa sababu matamko ya baraka, matamko ya kupony...