Mambo Yakuzigatia katika MAOMBI
✍🏾✍🏾Mambo Yakuvaa moyoni KWA Mwanamaombi ili Apambane mapambano yenye kuleta majibu✍🏾🌴👇🏾
Mwanamaombi inatakiwa zigatia haya ndio dirii na siraha yako yakivita.
1;Usizini
2!Samehe na achilia
3;Soma neno LA MUNGU
4!Ita damu ya Yesu
5!Omba toba naombea toba waliokukosea
6!Mkaribishe Roho Mtakatifu
7! Upende watu wote bila kuagalia yukoje
8!Mbebe asiyejiweza kuomba
9!Inua Huduma na kuipanda nduniani na kuomba watenda kazi waaminifu
10!Linda madhabahu ya Pale MUNGU alipokuweka
11; Mheshimu MUNGU na Baba yako mlezi hapo
Msikilize na kutii kufata Aelekezavyo Yeye
12!Usiwe MTU WA udhaifu
13; Usichoke au kurudi nyuma ujiugapo na kikundi hiki
14; Tukeshe na Kuomba kila siku
Amri zinazotumika
1:Tuma jeshi LA malaika WA vita likiongozwa na mikaeli
Natuma natuma malaika WA vita wakashike njia zote za wachawi nafunga njia zao midawa yao....endelea kadiri maneno yajavyo
2!Jiamini Na usiwe muoga
Tangaza kufunga kufungua kupanda kug.oa
Nag.oa kila miugu ya Tanzania Africa duniani napanda utawala WA Holy spirit ministry Tanzania
Napanda Tanzania Nag.oa Muiugu ya Baali nampanda MUNGU wangu aliyejuu
Nafuta kila laana matambiko magonjwa kwa watoto WA Holy spirit ministry Tanzania
Endelea kufuta
Nafungulia Mahusiano yaliyovunjika nafungulia matumbo yasiyo na watoto
Namwinua juu Pastor Richard ukazidi kumuongoza kwa Roho Mtakatifu
Mjaze upako katika kinywa chake macho Yake pumzi Yake
Endelea Kadiri maneno yajavyo
Maneno mengine Roho Mtakatifu huyarusu tu
✍🏾✍🏾Kwa wageni kila siku SAA.7.8.9. Tunaamka kuingia vita vya kiroho mwisho Asubuhi.
Tunapoamka hutupia Mistari tunaosimamia au neno Amen
✍🏾✍🏾KARIBUNI🤝
Soma Hapa Tunaambiwa Tuagalie kuomba kwetu kusiwe wakati tunashida tu Bali iwe kila siku Hakuna kitu kibaya uwe unaomba wakati tu WA mapito simama siku zote
Soma 👇🏾👇🏾👇🏾
Matthew 9:38
[38]Pray ye therefore the Lord of the harvest, that he will send forth labourers into his harvest.
Basi mwombeni Bwana wa mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno yake.
✍🏾✍🏾Mafundisho Ya Wanamaombi✍🏾✍🏾
✍🏾Pastor Richard
📞+255710889892
📞+255759861768
Tembelea www.mchungajirichardi.blogspot.com
Maoni
Chapisha Maoni