MAFUNDISHO YA WANANDOA

✍🏾✍🏾Ujumbe kwako✍🏾✍🏾

💝Mafundisho Ya MAHUSIANO💝💝WANANDOA👇🏾👇🏾

✍🏾👇🏾Bwana Yesu Apewe Sifa Wapenzi KATIKA Kristo

Ni Mimi mtumwa WA kristo  YESU mnazareth Pastor Richard Nikiwa na nanyi Katika Roho Mtakatifu Nimekuwa  wakili mwema Toka nilipo toka kwenu Huko Nimesimama Nikiihubiri injili katika nafasi aliyoniita nisimamie  sikutaka KUKAA  Bila kuwakumbusha Juu Ya njia zenu zilizo  kuwa zimepotezwa na Wanadamu.

✍🏾✍🏾Kwa Habari Ya kuoa/Kuolewa✍🏾✍🏾

Ndugu zangu Kama MTU Anaona Hawezi  kuishi peke Yake ni vyema aolewe/Owe

1⃣Kama Moyo wako umejeruhiwa kwa ajili Ya Mahusiano ni vyema MTU huyo Asimame na wokovu Ukiwa ndani yake hataumia tena

Ole wake yule Wa kwenu ndugu Yenu mlioijua kweli wote bado mkaendelea kupotoshana mwanamke na mwanaume wote mtakuwa wakosaji mbele za Baba YANGU aliyemtuma kaka yangu Paul kwa wagalatia.

✍🏾Wewe unayemjua MUNGU Fungamana kifungo cha pamoja katika MAHUSIANO na watu Ambao Tayari wameshampokea Bwana Yesu na kuwa mwokozi wao

✍🏾Usiende Kuolewa au kuoa MTU ambaye Hajampokea Bwana YESU mnazareth kuwa mwokozi wake Maana MTU huyo Akiamua kufanya Tofauti na Haya ni nenayo Wote wawili hata Umoja utakuwa  na chukizo LA uzinifu Mbele za MUNGU

Maana huyu aliiona nuru akaikimbia akaenda nje Akitafuta Mme ambaye yupo Gizani Huyu Ataitwa mtumwa WA Wanadamu ambaye Hufutwa kabisa katika orodha ya Watoto WA MUNGU

✍🏾Usiamini Habari za MUNGU kisa  unataka uolewe/Uowe wale wote mliokuwa mmewekwa HURU mkamwamini kristo mkaacha Imani yake Bwana Yesu mnazareth wokovu wake kwa ajili ya Kumfata mwanaume/Mwanaume Mkarudi kule aliko  watoa.

Nawaeleza Ndugu zangu amwachaye kristo hapa duniani kwa ajili ya vitu naye hatamtambua mbinguni kule kwa Baba yake siku ukija huku mbinguni Atakuambia  nenda kwa huyo huyo uliyemuona Ni bora kuliko Mimi atakukana.

Ni vyema Mkajua kitakochowadia mbeleni wanangu.

✍🏾Ole wake amwachaye kristo kisa ya mapito  majaribu Akarudi kuwafata waganga au wenyeji WA dunia...

Watu hawa Bwana atawatapika Kama Matapishi Atapikavyo MTU asirudie tena.

Ukiamua kumfata  mfate tena mfate sio uende nusu nusu ukijiona wewe Bado wataka dhambi ikutumikishe Endelea Nayo ukiona waweza Kusimama na Yesu ndio ujitwike ujana wako uwe wakili mwema.

✍🏾Haurusiwi ufunge ndoa Mara mbili Ole wake yule MTU avuaye Pete akaenda  kuolewa tena Pasipo Talaka au ndoa kuvunjwa  katika vigezo vinavyokizi kwao WANANDOA au katika mamlaka ya sheria mlizojiwekea duniani.

✍🏾Kama utaona unaweza KUKAA bila kuoa/Kuolewa  Basi kaa na uishi  hivyo ukizishida tamaa za mwili ukisimama na wokovu pekee ukimwinua MUNGU na kumtumikia.

✍🏾Mwanaume amtii mkewe na mwanamke amheshimu mmewe na kumsikiliza dani ya nyumba

Kwenu wawili msikatazane kwenda kanisani

Ole wake yule mwanaume atakayemzuia mkewe asisali asimtumikie MUNGU huyu MTU hatasamehewa.

Kwakuwa unapomzuia mkeo unataka a kitumikie wewe na uvae vazi LA MUNGU maana anayepaswa kutumikiwa ni MUNGU Tu.

✍🏾Zawadi Ya watoto mtakayobarikiwa muwalee kwa upendo nakuwapatia mahitaji yote nakuwaongoza katka njia ya kumcha  MUNGU

Ole wao wawatelekezao Watoto wasiwahudumie

✍🏾Mfugane katika mambo matatu.
11⃣:Upendo Wenye kubebeana aibu zenu

2⃣2!Msamaha pindi mnapojikwaa usijiinue kisa Mimi ni mwanaume nitaanzaje kuomba msamaha ndoa hatuijengi kimaubavu hivyo.

3⃣Sala muwekeni MUNGU mbele mwanamke mbembe mmeo katika kuniombea a endapo kutafuta

Mwanamke unatakiwa ulinde ndoa yenu kwa MAOMBI.

✍🏾Pia Lazima muwe na Baba WA kiroho Anayewaongoza katika Roho

Mweshimuni nakumshirikisha Yeye KATIKA yote mnayoona magumu kwenu Yanayoitaji msaada Wa kiroho.

✍🏾By Pastor Richard

Holy spirit ministry Tanzania

🇹🇿MOROGORO shukia VETA DAKAWA

📞+255759861768

📞+255710889892

Tovoti
        👉🀽𑰼󿯼www.mchungajirichardi.blogspot.com

🇹🇿Muogozo Wa biblia Soma 👇🏾👇🏾

1 Corinthians 7:23-24

[23]Ye are bought with a price; be not ye the servants of men.

Mlinunuliwa kwa thamani; msiwe watumwa wa wanadamu.

[24]Brethren, let every man, wherein he is called, therein abide with God.

Ndugu zangu, kila mtu na akae mbele za Mungu katika hali iyo hiyo aliyoitwa nayo. Wanawali na Wajane

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.