BAADA KUKOMBOLEWA UNATAKIWA UTUZE MUUJIZA WAKO
✍🏾✍🏾Somo; Njisi Ya kutuza Uthamani WA Utoto WA MUNGU na Kusimama katika MAOMBI Mwenyewe✍🏾✍🏾👇🏾👇🏾
Waefeso;6;11 "vaeni silaha zote za MUNGU mpate Kuweza kuzipiga hila za shetani.
1⃣☝🏽-Lazima Tuwe Na Imani isiyo na MASHAKA mbele za MUNGU.tusikate Tamaa Au kuona MUNGU Amechelewa katika Yale Tumuombayo Tusimame naye tena kwa akili zetu Mali zetu elimu zetu kuujenga ufalme wake Tukimsifu na kuitoa miili yetu kwa ajili Yake.
2⃣ Warumi;1;17' " Kwa maana haki ya MUNGU inadhihirishwa ndani Yake toka Imani Hadi imani.
✅Hakuna kitu kitakachoturudisha nyuma au kutuvunja moyo
-Hakuna Pepo mizimu Maroho Tutakaposimama naye imara tutakuwa mawakili wazuri WA Imani Yake naye hatatuacha sisi.
Tunatakiwa tushukuru kila jambo watoto WA MUNGU tuache malalamiko manug.uniko yanatukosesha tusijibiwe au msipokee Mimi napowaombea
Shetani huwa zake Anajiinuaga unajikuta Anakuvunja moyo Anakuambia Ona pastor Richard amekuombea wapi jaribu hapa kumbe anakupoteza Anaingiaga kwenye uchumi biashara ndoa nk wewe ingia uombe tu ndio ukazane
Unapokata Tamaa Unajikabidhisha kwenye umiliki WA kishetani
Watakuja wapendwa mchungaji marafiki wazazi nk kukuvunja moyo au kukuambia huolewi
Wewe lia lia na maombi Tu mwanangu Usikate Tamaa
3⃣Matayo:16;18 "Nitalijenga kanisa langu wala milango ya kuzimu halitalifunga.
✍🏾Endeleza Mapambano ya vita siku zote usiache omba omba omba mwenyewe simama sio Uagalie Mimi siwezi bila Pastor Richard futa upeo huo sema Mimi ni mteule hakuna kushindwa.
4⃣-Yohana:14:15
Mkinipenda Mimi mtalishika neno Langu
Mathayo:7;21-27
Yakobo.4;7
Warumi.6;6-14
✍🏾Yashike Maangizo ya MUNGU Tu.
Unapokuwa kigeu geu huwezi kumtii MUNGU na Maangizo Yake Unakuwa chukizo
Mch. Anaposimama Anawakilisha serikali ya mbinguni Inatakiwa mtii na kufata akuamurio maana huyo ndio Baba mlezi WA Imani kwake Yeye kuna majibu yako.
Unapopuuza unampuuza aliyemtuma nawe unajiwekea mamlaka yako.
5⃣Waebrania;10;23 " Na mlishike sana ugamo LA tumaini letu lisigeuke Maana yeye aliahidi ni mwaminifu Endelea24-25
✅Hudhuria Kanisani/Kuwa MTU WA IBaDA na MUNGU.
Usiwe Mtoro kanisani au usiwe MTU wakufanya kazi mpaka Jumapili penda ibada Mtoto WA MUNGU.
6⃣ 1Wathelonike;5;17 "omba bila kukoma
✅MAOMBI siku zote kuwa mwanamaombi omba tenga muda au udeni kikundi cha MAOMBI tu muombee Matatizo mbali mbali
Usiwe MTU WA KUKAA au kutokuomba utateswa na shetani
Zaburi.55;17
7⃣ 1 Wathelonike.5;16.18 " Furahini siku zote
✅Msifu na kumwabudu MUNGU ishi maisha kumsifia Sofia tu MUNGU kuushuhudia uweza wake kuihubiri injili kuwashuhudia watu kuenenza injili Yake katika Roho Mtakatifu.
8⃣-Warumi.12;1 "Itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai..
✅ Jitoe mwili wako kushiriki kumhubiri huyu Yesu kwa Mali zako elimu yako Kazi yako Matendo yako
Simama na YESU daima
9⃣ Soma Biblia Soma neno LA MUNGU
Uangalie kutenda kuenenda sawasawa na musa mtumishi wangu alivyokuamuru Uagalie Kutenda sawa sawa na Mtumishi au Baba yako mlezi Anavyokuagiza na kitabu hiki kisitokd kinywani mwako.
Yoshua 1;7-8
🔟-Ongozwa KATIKA Roho Mtakatifu
Wagaratia.5;16 " Basi nasema enendeni kwa Roho Mtakatifu hamtayatimiza kamwe Tamaa za mwili
Mtoto WA MUNGU unaanguka katika Tamaa vishawishi Uzinzi Kushindwa nk kwa kuwa Tu unatembea Bado kimwili unayatazamia yote kimwili mwili
Ndio maana hupandi daraja katika viwango vya kiroho. Upo pale pale huwezi kila kitu kwa kuwa tu unayatazamia kiakili zako.
Wagaratia:5;25 "Tuishi kiroho na tutembee kiroho.
Inatupasa Tuyatazamie na kutembea katika Roho sababu aliye WA mwili fikira zake huwa kuvunjika moyo kurudi nyuma Kutokusimama kutotia juhudi kutokumtii Mch. Au Baba Yake WA kiroho Anajenga Madhabahu kwa kuagalia njego anaenda mbele za MUNGU huku anatembea na wake za watu waume wawatu ametoka kwa waganga au kuzini huko Anaingia kupokea meza ya Bwana nk.
Huwa chukizo Jicho LA MUNGU huchukizwa sana Wenye Tabia hii
Tuache ya mwili sababu mwili hukuongoza Motoni na jehanamu Roho hukuongoza mbinguni kwenye Raha ya milele
...
1⃣1⃣Mjae katika Roho na Muombe katika Roho
Yuda.1:20 " Bali ninyi wapenzi mkijijenga juu ya imani Yenu iliyo takatifu Sana na kuomba katika Roho
Haya yote Yanawezekana tu kwa MTU aliyempokea Bwana yesu kuwa mwokonzi WA Maisha Yake Na akaongozwa Toba na Mchungaji
MTU ambaye Bado hawezi mpaka Akate shauri LA kuokoka na kumkiri Yesu mnazareth Amtawale Ammiliki.
Haya ndio mambo yakuzigatia kutuza sifa ya Utoto WA MUNGU
.
Jumapili NJEMA
Sambaza katika Magroup yako na kwa rafiki na ndugu
✝Pastor Richard
Holy spirit ministry Tanzania
Makao Makuu Yake
MOROGORO shukia VETA DAKAWA
Maoni
Chapisha Maoni