KUTOKA KWENYE MADENI KARIBU USIMAME NA MAFUNDISHO HAYA
🌴🌲🌲Somo; Kwanini Unateswa na Madeni🌲🌴🌴
🌳🌳Kumb.Torati; 15;4-6🌳
❓❓Hivi ulishawahi kujiuliza toka lini mtoto WA mfalme anaweza kwenda kukopa au akadaiwa wakati Yeye ndio baba Yake mwenye pesa mpaka basi.
⁉sasa wewe kwanini unadaiwa
✔Dawa ya Deni si kulipa na kitu kipi kukufanya ushindwe kulipa madeni mpaka Leo mtaani mpaka wamekupachika jina‼‼kwanini unauaibisha ufalme WA MUNGU kwanini Uongozwe na Roho ya tamaa ya kukopa halafu Umekopa Fanya kitu basi ndio hata kununua masufuria umeshindwa❗❗❗Acha kuyatukuza madeni unaibisha sifa ya watoto WA MUNGU.
❣💔Acha nikufugue hapo kwenye madeni utoke Bwana tena usirudi kujifugia NIRA ya madeni Unadaiwa na MUNGU mpaka na wanadamu 💗💓💓
🛑Haya zigatia uyatekeleze utayashida madeni🛑
🌳-1: Futa Hofu
Hofu ukiifuta itakupa kujiamini kuyakabili madeni yako na utaushusha mzingo huo WA madeni.
🌳Kuogopa nakuhofu mdeni wako itakufanya kuishi kwa MASHAKA na wasiwasi hali ambayo itakufanya usilipe na uzidi kuogeza madeni hali itakayokufanya usitoke kwenye madeni.
🌳🌳-2;USIABUDU MADENI.
Kuabudu madeni ni ile kujinenea unadaiwa madeni mengi kila SAA unayatukuza Mimi bila kukopa siwezi kuishi lazima ufike kikomo kusema sitaki kumuaibisha MUNGU wangu
Yaani MTU anadaiwa mpaka kwenye simu maduka yote ya mtaani unadaiwa futa akili ya kuyatukuza madeni kuona huwezi kuendesha Maisha yako mpaka ukope
Kupitia kufuta utafanya uyashide madeni
🌳🌳🌳-3:Lipa deni LA MUNGU: Fungi LA kumi au kama ulishamuahidi;
Ili Upate Msaada lipa deni LA MUNGU kwanza hasahasa kama unadaiwa Fungu LA kumi kanisani
Ukiwa unadaiwa Fugu LA kumi zaka hutaweza kujinasau utajitaidi utoke lakini utajikuta umeaguka na madeni tena
Yote kwa Sababu unadaiwa na MUNGU
Zaka hutolewa kwa Baba yako WA kiroho Ambapo MUNGU alikuogoza akulee na kukutoa katika mikono ya ibilisi
Kazi Yake hujenga na kuendeleza kazi Ya MUNGU isoge mbele
Usipotoa huwa unashiriki kumwimbia Mungu kuua huduma Yake
Hasara zake kuugua kuwa na madeni kuharibikiwa kizazi ofisini ndoa mahusiano ajira mshahara nk
Timiza deni LA MUNGU kwanza
Soma torat.28
Kuhusu kuelewa MUNGU hukupa Baba WA kiroho ambaye hukuongoza toba na kwake hiyo ndio majibu yako yapo na hapo ndio unapaswa ujenge ufalme WA MUNGU.
Soma; Torati.14;22-26
🌳🌳🌳🌳-4; Lazima ujue Madeni huwa Roho inayosababishwa na matumizi mbaya ya pesa na Mipangilio mibovu yako;
Unakuwa unafanya mambo mengine yasiyo na ulazima kwako.
Acha kuwa unafanya mambo megine yasiyo na faida au na umsingi kwako hebu agalia na kufanya mambo mhimu tu upokeapo mshahara wako.
🌲UNAWEZA ukaona kama nakuingilia lakini nikukusaidia utoke kwenye madeni
Sipo hapa duniani imladi nikubuluze lakini kuhakikisha upo HURU ndio maana nakusungua
MTU ateswae na madeni huhitaji aelimishwe tu sio kumuombea kukemea kupitia elimu utamuokoa.
🌲🌲🌲🌲🌲-5; Zigatia msimamo wako wakuishi bila kuwa na madeni hata kama unadaiwa usiwe mtumwa madeni yakakuzidi au ukaadamwa na madeni.
🌴-Lazima maamuzi na msimamo uipinge roho yakutokupa subira kila kitu wewe kukopa achana Nayo
🌳🌳🌳Ushauri utakaokusaidia.
1-Tafuta kazi au jishughulishe
2-Usitengemee msharaha fungua utenga uchumi hapa na pale
3-Wekeza kwenye kilimo
4-Tumia furusa mbali mbali usikae tu nyumbani
🌲🌳🌳Ufanyapo kazi ndio utabarikiwa
Unapomtumikia Mungu ndio unabarikiwa
Ukiwa na kazi vishawishi mbali mbali
🌳🌳🌳🌳🌳Ubarikiwe sana Uwe na siku njema🌴🌴🌴🌴
By Pastor Richard
MOROGORO VETA DAKAWA
🌳🌳🌳🌳🌳Share kwa wengine uwaokoe na madeni
Maoni
Chapisha Maoni