SOMO: MADHABAHU

   MADHABAHU Ni Nini?
Vitabu;Isaya:17:8 Kutoka:32:5
   👉🏼👉🏼Madhabahu Ni mahusiano Kati yako na Mungu au Shetani
👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿
Mathayo 23:19-21
[19]Vipofu ninyi; maana ni ipi iliyo kubwa, ile sadaka, au ile madhabahu iitakasayo sadaka?
[20]Basi yeye aapaye kwa madhabahu, huapa kwa hiyo, na kwa vitu vyote vilivyo juu yake.
[21]Naye aapaye kwa hekalu, huapa kwa hilo, na kwa yeye akaaye ndani yake.

Madhabahu Huwa nikitu Cha mhimu Sana Kuelewa Usifikirie Madhabahu Ni Jengo
Tabua Uhusiano wako Na Mungu hujengwa na Madhabahu Yako Yaani Kwa mlezi wako wa Kiroho. Mchungaji Ni Mtu aliyesimama kutuza Madhabahu Yake ndani Yake na Mungu Kumuweka Asimame Kuchunga nakulifundisha Kundi. Kanisa Bila Mchungaji haliwezi Kusimama Sababu ndiye aliyeteuliwa. Kila mtu Ameandikiwa Madhabahu Yake iliyobeba majibu Yake na Baraka nikama ukiona Elisha Madhabahu Yake ilikuwa Elia ukiagalia Namani Madhabahu Yake Elisha Samweli Madhabahu Yake Eli Yesu Madhabahu Yohana mbatizaji mitume Madhabahu zao ilikuwa Yesu. Lazima ili Ufanikiwe Kimwili kujua Madhabahu Yako ukiona Wewe Majibu hupokei ujue ile Madhabahu yako wewe hutoi Sadaka Zako pale ambapo Mungu hajaweka majibu yako.

DALILI ZINAZOJULISHA HII NI MADHABAHU YAKO.
1:Utafundishwa Neno la Mungu utaelewa na kubadilishwa Na Neno TU
2:Utaombewa Utaona mabadiliko ya ulivyokuwa na Baada yakuombewa
3:Utakua Kiroho nakuongozeka kiwango Cha imani
4:Utatoa Zaka Utaona mabadiliko na vitu vikifunguka Kupitia Zaka
5:Utaomba mwenyewe Utamuona Mungu

UTOFAUTI NA HAYA UJUE SIO Madhabahu yako iliyobeba Baraka zako.

Kama ukigundua Madhabahu yako tulia hapohapo unatoa Zaka Happ

Usiwe na Madhabahu Nyigi au Mababa wengi wa Kiroho unaowatumia Zaka utakosea Zaka hutolewa kwa Baba yako aliyebeba Madhabahu yako.

KUTOA UNAPOABUDU ZAKA Ni Sahihi endapo ndio unaona Madhabahu yako lakini Kama Sio Madhabahu yako Muombe Mungu Akukutanishe na Sehemu yalipoandaliwa majibu yako na Utazijua kwa kuagalia Dalili hizo.

MADHABAHU Ambayo haijabeba majibu yako utaitolea Fungu la kumi hutaona mabadiliko Utaenda kanisani hutabadilika Kiroho Utaomba hutaona Chochote

JITAIDI UJUE Madhabahu Yako Kwingine utatoa Sadaka Yako za kawaida lakini Fungu la kumi usije ukatoa nje ya Madhabahu yako Inawezekana kabisa Madhabahu yako ikawa tofauti na unaposali

Fungu la kumi Halitolewi Mara mbili umetoa unapoabudu na Unatoa kwingine Tena hapana

🌴🌴✔️UTARATIBU WA MADHABAHU HII UNAPOTUMA FUNGU LA KUMI🌴✔️✔️
🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦
Unaomba mahitaji Yako matatu

Kupitia Fungu hili la kumi mwezi huu nalitoa katika Madhabahu Yako ya Moto wa Yesu ikafungulie
1: Mahusiano Yangu mchumba wangu akatoe mahari natufunge ndoa.
2:Ujenzi wa Nyumba yangu nikamalizie
3:Nikapate mme/mke mcha Mungu mwenye Hofu yako
Katika Jina la Yesu Ipokee katika Madhabahu Yako Amen

Kisha Tuma kwa M-PESA+255759861768
CRDB ACCOUNT;0152361572400
Richard Julius Kushoka

AGALIZO; ukiaza Kutoa Simama Uwe MWAMINIFU Kila mwezi Usiache Wala Usije Ukaingiwa Tamaa ya kumwimbia Mungu Zaka

MUNGU Awabariki mliosimama Kuwa Waaminifu Kwa Mungu.
Mzidi Kumuona Mungu Kila mnachokifanya.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.