ISHARA NA VIASHIRIA VINAVYOKUJULISHA MWANAMKE ANAKUPENDA

VIASHIRIA NA DALILI ZINAZOKUJULISHA MWANAMKE ANAKUPENDA KIMAPENZI YUPO TAYARI KUWA NA WEWE.

Karibuni wanaume mliopo Singo mnaotamani Kujifunza au Kujua Mwanamke uliye nae Anakupenda Kweli Anakupitezea muda TU.

Naitwa Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard

1:ATAKUTUMIA SMS NA UKIMJIBU ATAENDELEZA CHATINI
Atakupingia Simu Mara Kwa Mara Kukujulia Hali au kukutumia sms fupi Kama Hi.Mambo,Upo wapi nk Utaona TU Ukaribu Wenu mkikaa atatamani Akuguse au Umguse Atakuuliza maswali unamchumba unamke unapenda mwanamke wa Aje.

Mwanamke anayekupenda hufurahia chatini Au uogee naye asikiye Sauti Yako tu Kwake Kupita Siku ujamjibu sms ataona Kama humpendi Kabisa. UKIONA haya Ujue Unapendwa.

2:MWANAMKE ANAEKUPENDA HUWA ANAPENDA KUTABASAMU NA KUFURAHISHWA NA VITUKO VYAKO UTANI UTANI.

Utaona tu ukifanya Jambo lolote atacheka Hata Ukifanya Jambo halichekeshi Peke Yake atatabasamu nakufurahi. Utaona hata wengine wanakuponda Yeye atakusifia Kiukweli mwanamke Anayekupenda hutabasamu nakufurahi akikuona.

3:MWANAMKE ANAEKUPENDA HUVUTIWA NA UNAVYOMJALI.
Hufurahia Ukaribu wako Sms zako na Simu zako Kama Yupo Karibu kila Mara atajipitisha mbele yako au nyumbani kwako au Kazini Akitamani hata utamuita hata utamuogelesha.

4:MWANAMKE ANAEKUPENDA KAMA HAJAKUZOEA ATAKUONEA AIBU KAMA AMEKUZOEA ATAKUAGALIA MACHONI.
Hisia za mwanamke Anayekupenda hujieleza Kupitia Vitendo na Uso wake Hukujulisha Anakupenda Anakuitaji

5: MWANAMKE ANAEKUPENDA HUKUWEKA WAZI BILA HATA KUKUFICHA.
Kwakuwa mwanamke anakupenda atakuweka wazi vitu ambavyo  hapendi atakueleza hisia zake Jinsi anavyokupenda Atakubadilisha kitabia na njia mbaya.

6; MWANAMKE ANAEKUPENDA ANAHOFIA USALAMA WAKO.
Kwakuwa Mwanamke Amekupenda Kama Upo nje nyumbani mfano umesafiri hataacha kukupingia Mara kwa Mara Kukujulia Safari yako.

UKIONA Hili ujue Unapendwa

7: MWANAMKE ANAEKUPENDA HATAKI PESA ZAKO ANAITAJI UPENDO TU UMPENDE.
Ukikuta mwanamke Pesa katunguliza mbele huyo hakupendi Amekupendea Pesa TU siku ukija kuishiwa atakuacha Kipimo Kikubwa Cha Kupima MKE mwema na Mwanamke Asiyemwema Ni Pesa au Mali au cheo ukiona HATAKI Pesa mpaka umpe mwenyewe ujue huyo Ni MKE Sahihi

8:MWANAMKE ANAEKUPENDA HAKIMBILII KUZINI KABLA HUJAMTOLEA MAHALI.
Mwanamke Anayekupenda Hana haraka ya Kufanya tendo la ndoa Ni mwanamke anayejitambua na anakuongoza ufate Taratibu za Nyumbani

Ukikuta mwanamke Haraka haraka TU Ameshazoea kuja kwako nakuzini hata mahusiano yenu hayajajulikana Popote ujue huyo mwanamke hata ukija kumuoa atazini TU nje.

9:MWANAMKE ANAEKUPENDA HUTAMANI UWE NA HOFU YA MUNGU SIO UWE HAUNA HOFU
Kwakuwa Amekupenda atakukumbusha Mambo ya Kanisani na Hata kuomba atakupa moyo Mambo yanapokuwa Magumu Atakufundisha Kumtengemea Mungu.

10: MWANAMKE ANAEKUPENDA ANAWIVU NAWEWE
Kwakuwa Anakupenda atakuwa na wivu mwingi usiaze kumfokea au kumvunja moyo anatetea Penzi lake Huwa wivu was Mara kwa Mara Simu isipopokelewa Usipojibu sms akikuona Upo na mwanamke mwingine itaendelea mpaka akishakujua wewe ukoje moyo wake hatakuwa na wasiwasi naweawe.

AGALIZO KWA WANAUME;
Unatakiwa unapoona dalili hizi Muombe Mungu Kama Ndiye MKE wako ujue Kama Siyo MKE wako ujue na Unatakiwa Uwe na Msimamo na Mungu Yeye huleta kilicho Kizuri. Usifanye uamuzi kwa akili zako Kwakuwa umeshajifunza

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.