MASWALI MAZURI YA KUMUULIZA MPENZI WAKO
MASWALI MAZURI YA KUMUULIZA MPENZI WAKO
Kabla hujaingia Kwenye Urafiki Na Mtu Yeyote hakikisha unajua Sifa anazozitaka unazo Maono uliyo nayo wewe na mwezako Yupo hivyo Jinsi Anavyompenda nae anakupenda Tengeneza maswali haya muulize Mkiwa Katika Mazungumzo Yenu.
Karibu Naitwa Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard
1.NI KITU GANI AMBACHO UNAJUTIA SANA KUKIFANYA NA KAMWE HUWEZI KURUDIA TENA KUKIFANYA?
2.NI TABIA GANI UNAYO INAYO KUKERA HATA WEWE MWENYEWE?
3.RAFIKI YAKO MPENZI NI NANI?
4.KATIKA MAISHA YAKO NI KITU GANI UNAKIOGOPA SANA?
6.KUMBU KUMBU GANI ZA UTOTONI HUWA ZINAKUFURAHISHA SANA UKIKUMBUKA?
7.UNAPENDA MPENZI WAKO AWE NA SIFA GANI?
8.KITU GANI UNAPENDA KUKITIMIZA KWANZA KABLA SIKU ZAKO ZA KUISHI DUNIANI HAZIJAISHA?
9.UMESHAWAHI KUJIUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA AU UNATAMANI SIKU MOJA KUJA KUJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA?
10.ENDAPO NIKIAMUA KUKUBUSU NI KITU GANI KINGINE UNGEPENDA NIKUFANYIE HUKU NIKIWA NAKUBUSU?
11.SEHEMU GANI UKIGUSWA UNAPATA MSISIMKO SANA?
12.KAMA TUKIKAA SEHEMU MIMI NA WEWE TU NI KITU GANI UNGEPENDA KUNIFANYIA/ UNGEPENDA NIKUFANYIE
Maoni
Chapisha Maoni