SABABU YA UTASA na UGUMBA
✍🏾✍🏾Somo; UTASA AU UGUMBA✍🏾✍🏾
Miongozo Ya Biblia Tufunue
Kutoka:25;26. Mwanzo: 11;30
☝🏽Utasa ni nini?
Ni MTU aliyefungwa kizazi au Uzao na ufalme WA majeshi ya shetani asizae au kuzaa.
MTU huyu huweza kuwa mwanaume au mwanamke
UTasa Upo Unagawanyika katika Makundi 2
1⃣ Utasa uliorusiwa na MUNGU kama daraja LA kumjua MUNGU
2⃣Utasa WA kufungwa na falme za Giza majeshi ya kuzimu Yanachukua uzao wako.
✍🏾✍🏾UTasa WA kufungwa visababishi huwa
1;Uzinzi
2;waganga
3!Uchawi
4!Majini
5!Mapepo
6!Ndoa za kipepo
7!Matumizi ya vilevi kwa wingi. Kama drugs abuse(Madawa ya kulevya.pombe kali nk.
8!Mizimu
9!Majina ya kurisi au ya kujiita Tu.
☝🏽☝🏽Haya ndio Huwa mlango WA majeshi ya kuzimu kuingia nakufuga uzao wako usizae.
✍🏾✍🏾UTASa WA MUNGU
Huu huwa utasa unaorusiwa Na MUNGU upitie wakati huo ili Uweze kumjua na Kusimama naye Mungu Tu.
Vitu vinavyosababisha Akuite usimame naye MUNGU kwa njia ya pito hilo
1;Moyo wako humpendeza yeye
2!Kukuokoa ametuma watu hukumsikia
3;Tayari unakuwa umechanguliwa
4;Hukuongoza mpaka kwenye Ushuhuda wako
5;Atakupa Mchungaji wako akuongoze
.
6;Atamtumia kufungua tumbo lako
7!Lazima ukazae ukabarikiwe
8!Hukutaka ujisamamie na uwe mwaminifu kwake
9!Ujitoe kumpenda kuliko Jana.
🔛🔛 TATIZO Huisha kwa njia ya Imani tu
Ukimwamini atakupa uzao unaomjua MUNGU Vizuri
Atakubariki na kukufuñgua
Imani yako izae matunda
Ukayashuhudie Mataifa
By Pastor Richard
Holy Spirit Ministry Tanzania
Maoni
Chapisha Maoni