NJISI MUNGU ALIVYOPANGILIA MAISHA YAKO

SOMO 👉 Mungu alívyopangilia maisha Yetu

🏆🏆Mungu ameyapangilia maisha yako Kama ifatavyo

WALAWI.13 YEREMIA. 1;5

1:HATUA YA KWANZA

Kuzaliwa MUNGU alipanga uzaliwe na uje hapa duniani Uishi na kumwabudu yeye NA kumtumikia.

2;HATUA YA PILI
.ALipangilia mtiririko utakaouishi na kupitia mpaka kufika alipokuandalia Mapito yote aliweka

3:Hatua ya Tatu
Alipangilia majaribu na mawazo vishawishi  ambavyo hutakiwa ushinde  na Kusonga mbele sio ukate tamaa

4;Hatua Ya NNE
Alipangilia ukombozi wako Mtumishi atakayekulea kiroho na imani utakayo kudumisha kwake

5;Hatua Ya Tano

Alipangilia viungo ufahamu na vitu mbali mbali akakupa  uwezo uvitumie vyema lakini ukikosea vinakupoteza na  kukutenga naye

6;Hatua Ya Sita

Alipangilia NJEMA na Mbaya akakuelewesha kuwa mema ni yangu utendapo mema  unanitukuza Mimi  ukitenda maovu unamtukuza shetani kaa utumie akili na viungo nilivyokupa akamaliza.

7;Hatua Ya SABA

Alipangilia kuamini na kutoamini

Akakuambia  ukiamini tu unapona  na kujibiwa usipoamini tu hupokei hujibiwi.

8;Hatua ya nane

Alipangilia Watu watakaokusaidia kukulea kukuonya kukemea kukufundisha njia NJEMA na mbaya

9;Hatua ya Tisa
Alipangilia KUFANIKIWA kwa na kutofanikiwa Kuteseka na kutoteseka nk

Kumbe Mipangilio yote ilikamilishwa ukiwa Tumbo ni

Jiulize kwanini uteseke

By Pastor Richard

Holy Spirit Ministry Tanzania

MOROGORO shukia VETA DAKAWA

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.