Kijue kitabu cha Agano Jipya full chote
🎤🎤IJUE Biblia VIZURI🎻
🌏KARIBU Ujue Agano Jipya🌲🌲
Agano jipya ni kitabu kinachokusanya Maisha ya Yesu na mitume wake aliotenda nao kazi kuazia kuzaliwa kwake mpaka kupaa kwake.
🌳🌳Ni kitabu cha kipekee kilichokuja kunena unabii WA maisha ya mbeleni na kutuongoza pakusimamia na kutufunulia mengi Tuliokuwa Hatuyajui.
🌴🌴Yesu ni nani?
Ni MUNGU mwenyewe aliyejivika vazi LA kimwili nakuja Hapa duniani kuokomboa ulimwengu Uliokuwa umemuacha MUNGU na kuishi maisha ya dhambi.
Tunaelezwa Kuhusu Yesu Yohana.1;1-6
Wengi mpaka Leo humfananisha Yesu Na mwingizaji mmoja aliyekuja kuichochea Imani ndani mwa watu Briton Deacon
Kitu ambacho Yesu alikuwa ameshapaa
✍🏾✍🏾Agano jipya Limeandikwa na waandishi tofauti tofauti mitume na wanafarisafa mbali mbali.
Katika Mazingira tofauti tofauti nyakati tofauti
👁👁UFaFanuzi WA Agano jipya👁👁
✍🏾VITABU ViLivyomo ni 27
Hivi ni vitabu tu vilivyokusanywa humo
✍🏾Sura zilizomo ni 260
Hizi ni sura tu zilizomo
✍🏾Mafungu yaliyomo ni 7957
Haya ni mafungu tu yaliyomo
✍🏾Maneno Yaliyomo ni 180552
Haya maneno Tu yaliyomo humo
✍🏾Herufi Zilizomo ni 838380
Hizi ni zile herufi Tu zilizomo humo moja moja kitabu chote
👀KITABU KILICHO CHA KATIKATI👁
✍🏾2wathelonike
👁👁SURA YA KATIKA
✍🏾ni Warumi.8!9
👁👁FUNGU LA KATIKA
✍🏾ni Matendo.27;17
👁👁KITABU KIDOGO Kuliko vyote
✍🏾3Yohana
👁👁FUNGU FUPI Kuliko vyote
✍🏾ni Yohana.11;35
👁👁FUNGU Refu kuliko vyote
✍🏾ni Ufunuo 20;4(linamaneno 69
👁👁SURA NDefu kuliko vyote
✍🏾ni Luka 1
✔✔Huu ndio Ufafanuzi WA Biblia Agano jipya ilivyo
🔜🔜Pastor Richard🔚🔚
Holy spirit ministry Tanzania
Makao Makuu
MOROGORO shukia VETA DAKAWA
☦☦Mafundisho Ya Biblia☦☦
Share kwenye Magroup na marafiki wajifunze nao
Maoni
Chapisha Maoni