NJISI YA KUFANIKIWA KUPITIA NYOTA YAKO JINA LAKO

👉🏽 *NJISI  YA MAJINA  KUFANIKIWA KUAZIA HERUFI A-Z*

_Pastor Richard_
From MOROGORO

_WENYE HERUFI A_

1:Anashauriwa Asimamie  katika Msimamo wake Asiyumbishwe

2;Ajiamini kwa kila jambo Afanyalo

3!Awe MTU WA IBADA NA Ushirika Na MUNGU

4;AJIREKEBISHE SIFA Zisizo faa kama Kiburi ugomvi nk aache.

5;Ajichanganye na wengine asijitenge tenge

👉🏽 _WENYE HERUFI B_

1; Ajiepushe na makundi marafiki

2; ASIMAME Katika sifa zake asifate mkumbo

3;Awe  mtetezi kwa waliodhaifu

4; Asimame Na MUNGU asimuache

5; Abadilishe Sifa  zisizofaa ajirekebishe

👉🏽 _WENYE HERUFI C_

1;Huyu Anashauriwa Tabia ya kubadilika Badilika Waache.

Wasimame na malengo yao

2;Wasivunjike Moyo wawe jasiri

3;Wamuweke MUNGU mbele waache kubabaika Mara wanarudi nyuma Mara wanasimama

4; Waheshimu Ndoto zao

👉🏽 _WENYE HERUFI D_

1; Wanashauriwa waendelee na msimamo yao Kupenda Hali.

Waepuke Ujeuri wawe watu wenye kujishusha pale watakapo Maendeleo

2: Wasimame na Biashara Tu Na Kazi ili wafanikiwe

3: Wanashauriwa kujenga Biashara na kufanya maendeleo kwa Kushikiana na wenye herufi D

4;Wasimame na Kumuweka mbele MUNGU sana

👉🏽 _WENYE HERUFI E_

1:Hawa ni watu ambao siku zote huonekana kudharauliwa kwenye familia na kusemwa vibaya.

Lakini Huwa Wamebeba Mafanikio na Baadae huwa tengemezi

2;Hutakiwa  wasimame wao kama wao ili wafanikiwe

Hawatakiwi wamtengemee MTU nje na mmewe,/mkewe na Herufi zao waendane

3;Wajitoe Kwa MUNGU Na Wasimame na MUNGU

4;Waache Tabia za kutokuwa Na Msimamo katika maswala Ya MUNGU wasiwe watu wakuhama hama/Kwenda mbele wanarudi nyuma

Wajiamini kwa kumanisha kusimama na MUNGU

👉🏽 _WENYE HERUFI F_

1;Hawa wanatakiwa wamjue MUNGU kwa kumanisha

2;Waache uzito wakuyalaza Malengo Yao Wawe wenye Maamuzi sio kila siku kesho kesho au nitafanya hufanyi kwa wakati kubadilike

3;Washikiane kimaendeleo na Watu wenye Herufi M E B R S J na P

4! Wajitoe na kumtumikia Mungu siku zote

👉🏽 _WENYE HERUFI  G_

1;Wamtumikie MUNGU tu

2;Wajitoe miili Yao kwa Mungu Tu

3:Wawe mistari ya mbele kwenye Kumtolea MUNGU na kumuweka mbele

4;Hawarusiwi kujiweka  nyuma kwenye Maswala Ya MUNGU au kurudiwarudiwa


👉🏽 _WENYE HERUFI H_

1;Hawa waache kuwa wanaishia kupanga mikakati ya maendeleo harafu wanakuwa wavivu kufanyia kazi.

2;Wasimame na Biashara na miladi  tu wajishughulishe mwenyewe

Waache Kupenda kutumikiwa mbali wajitume Hasa

3;Wasimame na MUNGU Tu

4;Wathubutu w anaweza wasipende kwenda imladi tu

5;Wawe namba moja kwa Mungu

👉🏽 _WENYE HERUFI I_

1:Hawa Nawashauri visheria  sheria vyao waache
Tabia ya uzinzi muache

2!Hawa muolewe/Au muoe  ndio Mtafanikiwa

3;Msimame na MUNGU tu

4! Mbadilike katika Tabia zinazoenda Tofauti

Kuishi kwa kutegemea ndugu Rafiki mbali Msimame nyie

👉🏽 WENYE HERUFI J

1;Waache kuwa Tamaa na Kujikatia Tamaa

2; Jiaminini NA kumuweka mbele Mungu Tu

4;Muepuke Yale yanayowafanya muonekana kama mmeshindwa kimaisha

5;Jitoeni na Kuwa mfano kumtumikia Mungu au Jamii

👉🏽 _WENYE HERUFI K_

1:Hawa wanashauriwa kujiingiza kwenye uongozi

2;Wanashauriwa Jeuri zao na Tabia zao zigine zisizofaa waziache

3!Wasimame na Mungu na wajitume wao kama wao kutafuta wasirusu msimamo wao ukaingiliwa

4;Waendelee Kuwa na msimamo kwa Yale yawapotoshayo.


👉🏽 _WENYE HERUFI L_

1;Hawa watafanikiwa kwa kujiajili wenyewe sio kuajiliwa

2;Wawe waaminifu kwa Mungu katika kujitoa

3;Misimamo yao ya kuwa kila wanachofikiri wanataka kiende hivyo wasijaribu kuingiza tabia hizo kwenye ndoa

4;Wajirekebishe tabia zao na waendelee kuwa na mipango yao ya kimaisha kufanikiwa kama wawazavyo kila siku nakuumiza kichwa.

👉🏽 _WENYE HERUFI  M_

1:Wanatakiwa WA jishughulishe chochote kwa Juhudi sio KUKAA Tu

2;Waendelee Kujiamini

3:Waache kudakiadakia vitu

4!Wasimame na MUNGU hasa wasibipu

5;Waache Utomasotomaso kwenye maswala ya MUNGU waamini  kuwa anaweza.

6!Wamtumikie Mungu

👉🏽 _WENYE HERUFI N_

1:Wajiajili kwa kutumia karama zao za ubunifu.

2;Wajihadhari na Mahusiano watalizwa sana endapo hawatasimama imara na MUNGU

3;Wazizue hisia zao za Kupenda penda mpaka wamejiridhisha

4;Wamanishe kujitoa kupamba kutengeneza kanisani na kujitoa

5;Wasijikalie pasipo kufanya kazi

👉🏽 _WENYE HERUFI O_

1:Anashauriwa Asome sana asichezee shule

2;Ajitoe kitumikia jamii

3:Aendelee hivyo hivyo kuwa na subira asikurupuke

4;Amutangulize MUNGU mbele kila jambo

👉🏽 _WENYE HERUFI P_

1; Wanatakiwa Wamtumikie MUNGU au Jamii

2;Wajichanganye na watu watu wasikae peke yao

3:Watumie watu kufika watakapo

4;Wajitoe sana kwa Mungu

👉🏽WENYE HERUFI  Q

1:Anashauriwa Jina alibadilishe Asiendelee na jina hili kwanini ni chanzo cha yeye Kukosa uwezo WA kutatua vitu au kufanya jambo linaloonesha karama licha ya kuwa huwa na kitu.

2;Kisha Asimame Na MUNGU Tu


👉🏽 _WENYE HERUFI R_

1;Wanashauriwa wasimame NA kujitoa kwa Mungu

2;Huwa Herufi wenye majina Haya wasipomjua  Maisha yao hujaa sifa chafu na kutokuwa na dira ya kimaisha.

3;Wanatakiwa wamanishe kusimama na MUNGU tu

4;Wanatakiwa wajichanganye na kumtanguliza MUNGU

5;Wajishughulishe  chochote

👉🏽 _HERUFI S_

1;Hawa wanashauriwa wajiajili au Kufanya Biashara

2:Wajitoe kusaidia jamii kuelimishana na kuongoza.

3;Wazishinde Hasira Zao

4!Wasimame na kumanisha kwa Mungu

5;Wajitoe na kuwa waaminifu kwenye maswala ya Kiungu

👉🏽WENYE HERUFI T

1; Hawa mnashauriwa majina yenye Herufi T huchukua muda sana KUFANIKIWA hutumia nguvu sana japo KUFANIKIWA lakini kwa shida mnashauriwa mbadili Majina Yenu mnaenda kwa mch.

2;Wanashauriwa wavunje hili jina wapewe Jina jigine Ambalo litaendana nao

3;Pia waache kushawishika Maana hii ndio chazo cha wao kuvuruga maisha yao

4;Wasimame na Mungu tu


👉🏽Wenye HERUFI U

1;Hawa huwa wanabahati sana lakini ni watu wasio na msimamo ili wafanikiwe wawe na msimamo waache Uongo na Sifa chafu chafu

2;Wasimame WA jishughulishe na kujichanganya na watu Tu.

3;Wawe Watu waaminifu tu katika mahusiano

4!Wawe na maamuzi Yao si kwa ajili ya kitu

5;Mungu wamuweke mbele

👉🏽WENYE HERUFI V

1;Wasikate Tamaa kufanya Bidii kwenye Kazi

2; Hawatakiwi wavunjike moyo au kumwangalia MTU

3;Wanatakiwa waache Tabia zao za kubadilika Badilika nakutokuwa watu wasioeleweka

4;Wamtumikie Mungu katika uongozi wowote

👉🏽👉🏽WENYE HERUFI W

1!Hawa wanashauriwa waache kujihusisha kwenye maswala ya uhatari

2;Waziepuke tamaa ya mapenzi NA kusimama na mmoja tu

3:Wamshike Mungu sana

4; Wamtumikie MUNGU anakuwa washauri.

👉🏽WENYE HERUFI X

1;Muache Tabia ya kushauriwa na kuongea mnakuwa hamsikii

2;Muyaache mambo ya Anasa kupenda uzinzi Muache

3;Hawa watu ili wafanikiwe waache tu kitabia chao cha Anasa

4;Mbadili jina hili kama mkishindwa kuzigatia niliyosema Mungu mmuweke mbele.

👉🏽WENYE  HERUFI Y.

1:Hawa kinachowapoza Huwa wanamipango mikumbwa isiyotimia huadamwa na misukosuko sana

2; Wasimame na MUNGU Tu NA kumanisha

Waache Ubishi kutokushaurika mtavunja minji yenu

3; Hawa watu ni wazuri wakimanisha na kutumia kwa Mungu

4;Wayatimize maono yao



👉🏽WENYE HERUFI Z

1;Hawa Anashauriwa muache kukurupuka katika maamuzi Yenu mnafikiri kwanza

2;Muwekeni MUNGU mbele

3;Muendelee na Upendo na sifa NJEMA

4;M jishughulishe chochote

👉🏽👉🏽JUA SIFA YA JINA LAKO ILI UFANIKIWE🤝🏽🤝🏽

👉🏽👉🏽👉 _By PASTOR
RICHARD_

Holy Spirit Ministry Tanzania

Makao Makuu
.

MOROGORO shukia VETA DAKAWA

Simu +255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.