SOMO:UPONYAJI WA MATESO
SOMO: UPONYAJI WA MATESO.
Zaburi;107; Yakobo;5;14-16, 2wafalme;20;5
Isaya;40;29
Naitwa Pastor Richard
Nipo Morogoro Veta Dakawa
MAANA YA NENO UPONYAJI Ni Muujiza uletao Afya na mabadiliko ndani yake kupitia Kuamini kitu.
MUUJIZA MAANA YAKE Ni Uwezo wa Kutenda Jambo Lilopita Kiwango cha ubinadamu nakuuleta ulimwengu wa roho kumhusisha Mungu au mungu.
MTU ATENDAYE MIUJIZA ANAWEZA AKAFANYA AKIWA CHINI YA MUNGU AKIMTUMIA au SHETANI AKAMTUMIA.
Leo hii Nataka Nikufundishe Jinsi Ya Kuweza Kujiponya Mwenyewe Au Kuwaponya Wegine Kwa Kupitia Imani.
MAMBO HAYA NDIYO HUWA YANAPONYA.
Si kila kitu unatakiwa uombewe au Uende kuombewa la hasha ! Kuna wakati unatakiwa ujue Fomula za Uponyaji wa Mungu Kwako kama hizi.
1;MANENO UNAYOONGEA YANANGUVU MBILI NDANI YAKE.
a)maneno yako kama muda mwingi huongelea Tatizo lako Au Kusimulia habari zakulongwa Kutokuolewa Wizi wa zaka madeni.
Utafanya Tatizo Kwako lisiishe Kwa sababu ya moyo wako unaushibisha Udhaifu.
b)Maneno Yako Yatakuponya endapo utakuwa mtu usiyeongea madhaifu au maneno yakujikatisha tamaa mwenyewe .
Utaufanya moyo wako uujaze ushujaa na uponyaji utapona.
Zaburi;107:20
2;MAOMBI UNAYOOMBA
Maombi Ni Pumzi ya uliyeokoka Unapozidi Kukazana Kuomba usiaze ukikaa uaze kufikiri Maombi yako hayafiki au Mungu anaumbanguzi Omba na Uwe na Mazoezi ya kuomba kila siku.
2wafalme:20:5
3:SADAKA ZAKO UNAZOTOA KWENYE MADHABAHU YAKO.
Sadaka Anayoipokea Mungu Ni ILe Mtu anaitoa Pasipo kumkopesha Mungu Yaani Atoe halafu na Yeye apate kitu mtolee Mungu kwa kujua si ni vyake sio vyako.
Matendo;10;1-5
4:BABA WAKIROHO (MADHABAHU YAKO)
Madhabahu Yako Itakutambua nakukuletea Baraka Zote utakazo kadiri unavyoitolea Sadaka yako nakuijenga Madhabahu Hiyo Kama Ukawa Unaiomba Madhabahu Yoyote Ambayo hutoi zaka au Sadaka kwake haitakupa matokeo mpaka unayoitolea Sadaka Zako. KUPITIA MADHABAHU YAKO NDIYO DARAJA LAKO LA KUMFIKIA MUNGU WEWE UNATAKIWA USIMAME NA BABA WA KIROHO MMOJA AKULEE NA HAPO TOA SADAKA ZAKO AU ZAKA YAKO.
1WAFALME;18;30-31
5:TOBA YENYE KUBADILIKA
Kuna Wakati Mungu hakujibu nakukutendea kutokana na dhambi ulitoa mimba au ulizini au mwizi wa zaka au unakata tamaa au unanug,unika
Hakikisha Unakuwa mtu wa Toba Utaona unapona Tatizo lako.
MAKOSA AMBAYO HUPASWI UYAFANYE.
1;Kuikubali Hali Fulani Ukaifanya kuwa Wewe wa hivyo Bila Kupata majibu kwa Mungu
Kama kina Ayubu;2 au kina Hanna 1SAMWELI;1;1-7
Mfano; mimi sitazaa au siwezi kuolewa au mimi mwizi wa zaka
Muulize Mungu Kwanza Je Ametaka ukae hivyo
2;Kupuuza Unachoelekezwa Na Baba Yako wa Kiroho au Madhabahu yako Usiseme mabaya madhabahu yako uliyopewa na Mungu.
Inazuia Baraka zako unapotenda hivyo.
Kutoka 23:20-21
[20]Tazama, mimi namtuma malaika aende mbele yako, ili akulinde njiani na kukupeleka mpaka mahali pale nilipokutengezea.
Behold, I send an Angel before thee, to keep thee in the way, and to bring thee into the place which I have prepared.
[21]Jitunzeni mbele yake, mwisikize sauti yake; wala msimtie kasirani; maana, hatawasamehe makosa yenu; kwa kuwa jina langu limo ndani yake.
Beware of him, and obey his voice, provoke him not; for he will not pardon your transgressions: for my name is in him.
3:Kutoa Sadaka ili Utendewe kitu na Mungu mawazo ukayaweka hivyo.
Lazima itakutesa pale Mungu atakapochelewa. TOA SADAKA UKIJUA NI MALI YA BWANA UNAPASWA MRUDISHIE YEYE MWENYEWE TOA SADAKA UKIAMINI KUPITIA SADAKA MUNGU AMEJIBU.
HITIMISHO
TUNAPASWA TUJUE FOMULA YA UPONYAJI WENYEWE WA MUNGU
MUNGU HUSHUGHULIKIA UPONYAJI NDANI YETU KWA 90% KUPITIA MANENO TUNAYOPOKEA NAKUYATOA .
WITO
Tumia kinywa chako kubadili Hali uliyo nayo usitumii kinywa kuendelea kujitesa mwenyewe.
Mfano huu; Luka;8;40-45 ,18;35-53
Tuma Sms WhatsApp inbox kama unatatizo +255759861768
0
Maoni
Chapisha Maoni