SOMO;MAMBO 10 YASIYOHALALI KUFUNGISHA NDOA
SOMO; TAMBUA NDOA AMBAYO SIYO SAHIHI LAKINI IMEFUNGWA KANISANI.
Mwanzo:2:23-25 Mithali;31:10
MWAL:PASTOR RICHARD
Sio ndoa zote zinazofungwa kanisani ni halali zingine sio ndoa halali Mfano ukifungisha ndoa au kufunga ndoa upo hivi ni kisa
1;Mwanamke Ambaye mjamzito harusiwi afunge ndoa au anadalili anaisi
2:Mwanamke Ambaye Yupo Siku zake Yaani Blidini harusiwi asimame madhabahuni afunge ndoa.
3.Mwanaume Ambaye Anatatizo la nguvu za kiume au dalili hatakiwi asimame madhabahuni afunge ndoa.
4,Mwanaume Ambaye alishajihusisha na ushoga au matendo yanayofanana na hayo harusiwi kufunga ndoa madhabahuni.
5;Mwanamke Ambaye hana sehemu za Siri Au Anamatatizo sehemu za siri yanayoasiri anaposhiriki Tendo la ndoa Hurusiwi Ufunge ndoa madhabahuni
6:Mwanamke Anayenyonyesha mtoto bado mchanga harusiwi kusimama madhabahuni afunge ndoa.
7;Mwanamke ambaye hajakabidhiwa na waliomzaa au walezi wake akanunua wazazi feki hutakiwi Usimame madhabahuni.
8:Mwanaume Ambaye Hajakabidhiwa mke hatakiwi afunge ndoa Madhabahuni.
9:Mwanaume Ambaye Anamatatizo ya akili au thiorokoronjia au mwanamke harusiwi kufunga ndoa madhabahuni.
10;Mwanamke aliyetoa mimba siku chache kabla ya ndoa.
HAYA YAZINGATIE NI DHAMBI KUBWA KUFUNGISHA NDOA AU KUOA/KUOLEWA UPO HIVI.
Naitwa Mwalimu Wa Wanandoa
Pastor Richard Nipo Morogoro
Tuma kero yako WhatsApp +255759861768
Maoni
Chapisha Maoni