SOMO:YAJUE HAYA UNAPOTAKA UFIKE MBALI
SOMO: YAJUE HAYA UNAPOTAKA UFIKE MBALI KIMAISHA.
Kutoka:3:1,18:1-7 Matendo:7:22 Zaburi:68;6 Mathayo:3;9-17 na sura ya 4
Mwanzo:12
🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦
UTANGULIZI
Hatua Zinakufanya ufike pale unapoenda Kukaa chini nakujikstia Tamaa Inakufanya Usifike Lakini Waitaji Ujifunze Kwanini Hutembei Upo pale pale ujiulize Kwanini Shetani mapepo wachawi na magonjwa yanazidi kwako hayaishi Kwanini Mwaka unaisha au Umeshindwa kuendelea na Masomo.
Basi Katika Somo Hili Litakupa muogozo mzuri wa Kiroho utakao kufanya ufike mbali.
Naitwa Pastor Richard
Napatikana Morogoro Veta Dakawa
Simu za Kuogea na Pastor+255759861768
Tafuta MAKUNDI haya au Watu wa Sifa HIZI Utembee nao katika maisha au Safari yako ya mafanikio
1:UTAFUTE WALEZI WA KIROHO;(MCHUNGAJI)
Vigezo uugalie
1:Awe MCHUNGAJI Ambaye Anakanisa
2:Awe kwako rahisi kuogea nae na kuwasilisha haja yako
3:Awe anaejua Kufundisha na Kukuelekeza njia
4:Uwe kwake Mtoto na Rafiki usiogope kumfikia
5:Uwe Tayari kubadilika na Kufata muogozo wa Baba yako wa Kiroho.
6:Ukubali Kushauriwa na Kuchanganua ushauri unaompa Mungu utukufu.
2;WATU WA WENYE MAONO NA MTAZAMO MPYA WA FIKIRA.
Vigezo Uugalie
1:Awe mtu asiyekata tamaa
2:Awe mtu mwenye maono makubwa
3:Awe mtu aliyeonyesha njia ya mafanikio
4;Awe mtu Asiyekasirika ovyo nakuchukia
5:Awe mtu msiri na mwaminifu wa kila Kitu unachomwambia.
3:WATU WALIO KUA KIROHO NA KUKUTANGULIA KIMAISHA
Vigezo uugalie
1:Tafuta urafiki unapokaa watu waliokuwa kiroho.
2:Jifunze Ujasiri na Imani aliyonayo huyo mtu
3;Awe mtu aliyesimama kiroho na Kimwili Anapiga hatua.
4:Awe Mtu Anaejituma nakujishugulisha Katika mafanikio.
5:Awe Rafiki na Mwalimu Kwako.
Maoni
Chapisha Maoni