MAOMBI YA KUPATANA NA MUNGU

JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA KUJIPATANISHA NA MUNGU
πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️πŸ…°️
Hatua Za Kuzingatia
1:Moyo wako uugue nafsi yako ilie Kinywa Chako Kinene Kwa uchungu.
2:Omba Ukiwa Umesimama au Umepiga magoti Kanisani au chumbani.
3:Omba maneno uyatoe yasikike yakitoka kwa uchungu
4:Baada ya Kumaliza mshukuru Mungu kwa kupigapiga makofi ukisema Ansate Sana Baba.
Mathayo : Mlango 20

2 Naye alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.
πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦πŸ₯¦
Naitwa Pastor Richard
Nipo Morogoro Veta dakawa
Simu Kupiga jioni Saa 12 00 Namba+255759861768

Bwana Yesu Nasimama mbele Zako Mimi Mwanao Richard Moyo wangu unaugua Kwako unashauku nawewe Baba Yangu Nafsi Yangu inalia inalia inasema Baba mbona umeniacha Mimi Mwanao Agalia Nateseka Agalia Nadharaulika Nayaleta mashika haya Kwako Baba Yangu Nasimama Mimi Mtoto wako unanijua Vyema Kuliko ninavyojielewa unajua mifupa ya mwili wangu unajua mifumo ya mwili wangu Leo Nataka Nipatane nawewe Yesu wangu Mwili wangu upatane nawewe mifupa yangu ipatane nawewe Kazi Yangu ipatane nawewe Akili yangu Mawazo yangu Huduma yangu Maombi yangu Baba Leo naomba yapatane nawewe Kila Kitu Ninachokifanya Nakipatanisha Nawewe Mungu wangu Sitaki Tena nifanye Chochote Bila wewe kila Kitu kiwe Chako wewe kabla sijafanya Mimi hakikisha Baba yangu unapatana nacho nakukipa ruhusa wewe Ninataka milele nitembee ndani ya utawala wako na upatanishi wa nafsi yangu na Yako.
KATIKA JINA LA YESUπŸ…°️men.

πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏMaombi haya utayaomba Siku Tano
Asubuhi Unapoamka na Jioni unapoenda KULALA
Weka Chochote utamke unachotaka upatane na Mungu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.