SOMO:Mambo MATANO YANAYOMFUNGA BINT SAYUNI Asiolewe
🙏MAMBO MATANO YANAYOMFUNGA BINT SAYUNI ASIOLEWE/KIJANA SAYUNI NAE ASIOE NI HAYAPA.
Karibuni Vijana Wa Yesu Tujifunze Jambo Hili Linalowatesa Mabint na Vijana Wengi Katika Kupata Usahihi wa Maisha Yao
Kijana mwezenu na mjumbe Mwaminifu Wa Yesu Kristo Pastor Richard Kushoka Nipo Morogoro Nchini Tanzania
Kwanza Tujue Bint SAYUNI Ni Nani?
Na Kijana wa SAYUNI Ni Nani?
rejea Biblia Zaburi;50;2
BINT SAYUNI Ni Mschana mcha Mungu mwenye Hofu ya Mungu ndani Yake
Zakaria : 2:10 Imba, ufurahi, Ee binti Sayuni; maana, tazama, ninakuja, nami nitakaa kati yako, asema BWANA
KIJANA SAYUNI:- Ni Kijana wa Kiume mcha Mungu mwenye Hofu ya Mungu Anaempenda Mungu.
Zaburi : 99;2 BWANA katika Sayuni ni mkuu,Naye ametukuka juu ya mataifa yote.
KUFUNGWA NDIO NINI?? Ni Hali ya wewe kukosa uhuru juu ya Maamuzi yako au unachotakiwa ukifanye.
LEO NAWAONGELEA VIJANA WALIOKOKA SABABU YA WAO HAWAOLEWI/HAWAOI NINI CHAZO
Kuna nguvu na Vifungo vitano tu Kwa Bint Vinavyomfanya Asiolewe au Asidumu kwenye uchumba.
1:KUZINI; hii huwa Ni kitendo Cha kukutana kimwili wewe na rafiki yako au kijana aliyeokoka au Ambaye hajaokoka kabla ya Kutambulishana Urafiki wenu nakuuweka wazi kwa wazazi.
Nataka Bint Hapa unielewe ninaposema kutambulisha rafiki yako huwa SI manishi eti kwa kuwa unaenda kwa wazazi wanakuona ona tu Unawaambia mama Huyu rafiki Yangu la hasha.! Kutambulika mahusiano hupaswa mwanamme Afate taratibu Yeye Sio Wewe Uaze Kufata hakikisha wazazi unawajulisha Kuna rafiki utakayempeleka halafu watawapeni utarabu.
Bint wengi Wanahamia kwa wanaume au Kuaza Kuzini nao kabla ya mahusiano Yao kujulikana Popote Bint Ukikosea Ukaanza Kujishusha thamani yako au kiss umri umeenda utarusu minyororo na matatizo ya kuanza Kupata wanaume wanaotaka TU wazini au wakuzalishe wakuache Bint SAYUNI Simama Jitambue UKIJITAMBUA UKASIMAMA KUWA BUSY NA MUNGU MME MWEMA UTAMPATA HARAKA USIWE NA HARAKA YA KUOLEWA.
2:KINYWA:-Hiki Ni kiungo kilichopo kwenye mdomo Ni kidogo Sana na hakihamishiki Lakini uwezo wake Mkubwa.
Bint Wengi Huwa Vinywa vyao Vinawafanya Vijana Wasiwapende na Wengine Vinywa vyao Vimezoea Kutoa Lugha chafu na Maneno Yenye kuwavunja moyo wapezi wao Hata Waume Wao Pia Wengi hujifunga Kwa Maneno Yao wao Kwa Kujinenea Sitaolewa Hakuna mwanaume wa Kunioa na Maneno mengine Ambayo huwafunga halafu Baadae wanashagaa walioyatamka ndio wanayaishi Hali hii Mabint wengi imewafunga WASIOLEWE KINYWA TU.
3:SIMU/MITANDAO; hiki huwa Ni kifaa Cha mkononi kinachomrahisisha mtu kuwasiliana na Kujuana Hali na mtu mwigine au kusoma Habari mbalimbali nk.
Vijana Wengi Waliopo kwenye ndoa/Mahusiano Simu Zinatumika tofauti Kuwasiliana na wapenzi wao wa Zamani Kuwatumia Sms Zenye makosa wapenzi wait mfano; Hi.bby,Mambo,Mzm ww, Hl np hm Sms Zozote ukizituma kwa mtu unayempenda andika Sentence Usiandike kiufupi unampa kazi kujua Wegine wanajua wapezi wao hawajui Kigerenza unaandika Kigerenza
Pia Malumbano kwenye Simu Ni marufuku ukiwa wewe kijana umeokoka Hupaswi ulumbane na Mchumba wako
4:Muda; Unapoamua Kuingia Katika ndoa/Mahusiano Ni muhimu Sana kuweka muda wakuongea nakuzungumzia mstakabaadhi ya mahusiano Yenu na Malengo wekeni muda wa wiki au mwezi mnakutana Pamoja nakushauriana Katika urafiki wenu au uchumba wenu
Watu wengi mahusiano Yao huvunjika kwa kuwa busy nakukosa muda na wenza wao Hali Ambayo Hufanya mkose muundo mzuri wa uhusiano wenu au ndoa Yenu kwa kuwa hamna kawaida yakukaa nakutenga muda muongolee maisha na watoto wenu.
5:IMANI;- hi huwa Kile anachokiamini mtu nakukitumaini kuwa kinampa majibu au kinaweza kujibu Maisha Yake.
Mabint wengi wanakutana na Vijana wengine hawajaokoka na hawana hofu ya Mungu Anataka amfanye awe na Hofu huwa Ni kazi Sana.
Wapo watu wanaoolewa na wanaume wagomvi walevi wanaopenda madawa ya kienyeji nao wameokoka Wanajiingiza humohumo Hali Ambayo mahusiano Yenu hayawezi kudumu au Kuwa nafuraha endapo to mmoja wenu Imani tofauti Huwa inawapa shida Vijana wengi.
Haya Kwa Kijana Pia Ni Hayahaya huweza KUMFANYA Asioe MKE au Asidumu kwenye uchumba na mwanamke.
Kijana ukiyadhibiti haya mahusiano Yako yatandumu
Tuma kwenye magroup mengi
Naitwa Pastor Richard
@2020
Maoni
Chapisha Maoni