✍🏾✍🏾SOMO;USIJIDHARAU
✍🏾✍🏾SOMO;USIJIDHARAU
Kutoka;4;1-10 Ayubu;5;17
Mtu Anaweza Kujidharau Kutokana na Mazingira anayoishi nakufanya au Hali Yake ilivyo ya kimaisha Kitu Ambacho huwa chukizo kwa Mungu na Furaha Yake Shetani kukutazamisha Uone huwezi au maisha Bora chakula kizuri kwa Ajiri ya wenye Pesa TU kumbe njisi ulivyo ukijikubali unaweza kuyabadilisha maisha yako.
Masikini hujiona Hana thamani mbele ya Mtu mwenye Pesa hivyo Hali hiyo humfanya ajidharau nakunyenyekea nakumwabudu mtu mwenye Pesa kwa kuwa TU kuna kitu anakuwa anakiitaji.
Kumbe wewe Ni wathamani Sana lakini kwa kuwa hujui thamani yako mbele za Mungu unajishusha hujiamini umekuwa mtu wa kusitasita katika maamuzi yako umekuwa wakujinug.unikia TU imefikia hatua umekufuru mpaka kusema kwanini nilizaliwa imefikia hatua lawama umewatupia wazazi wako walezi wako Yote Kukosa ufahamu wakujielewa thamani yako kwa Mungu
Umepewa thamani kumbwa Sana ya kutawala kila kitu kinakujua wewe Ni Mtoto wa Mungu taifa Teule nguvu Wala milango ya kuzimu haitaweza Wala kukutisha haiwezi maana ndani yako unanguvu ya kuangusha kila nguvu za kuzimu kuponza magonjwa kuamuru vitu vinakuwa ukisema kitu kinakuwa
Wewe Ni Bora kuliko Wale wote wasikiao wokovu wasiupokee Ni Bora Zaidi maana ndani yako unajina la Yesu limevunja kila ngome na misiba ya Gafla magonjwa yakurithi yamefutwa
Kama Saivi Somo Hili walisoma Upo katika kipindi kigumu Kiri ninasimama Tena katika jina la Yesu
Kama Some Hili limekuja halafu unadaiwa mpaka kwako mwenyewe huna Amani Kiri Mimi Rich Natoka kwenye kamba za madeni KUANZIA Leo natembea ndani yakutokukopa.
Kama Saa hii Unasoma lakini unajiuliza Leo utakula Nini au karo ya watoto inasumbua sema
Namtuma mjumbe malaika wa Baraka Amlete mtu aniletee Pesa Zangu Mimi Richard
Kama Unastress unamawazo mengi
Sema naiwe faranja ndani yangu
Kama Umeachwa na mchumba siku hizi kabadirika sema
Naaje mme wangu/MKE wangu sio mchumba katika jina la Yesu
Mungu Akuvushe Zaidi kuvuka
Naitwa Pastor Richard
Askofu na mwanzilishi wa Makanisa ya Huduma ya Roho Mtakatifu
Holy Spirit Ministry
Makao makuu headquarters
Morogoro veta Dakawa
Simu+255759861768
Maoni
Chapisha Maoni