NJISI YA KUSTAWISHA UCHUMBA WAKO

*NJISI YA KUFUFUA MAHUSIANO YALIYO KUFA Au YASIYO SITAWI*

Darasa La Wanandoa

Pastor Richard

Simu +255759861768

👇🏽👇🏽👇🏽
1.Maneno, Ya Kutiana Moyo, Kumthibitishia Unavyompenda Mtamkie, Msifie Mpenzi Wako Asikie Kutoka Kwenye Kinywa Chako, Mtanie(Angalizo:Kama Hapendi Tani Unalo Mtania, Usimtanie Ilo Tani, Maana Wengine Mnamatani Ya Ukweli).
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
2.Vitendo, Vitendo Huzungumza Kwa Sauti Kubwa Kuliko Maneno, Mfano: Kama Mpenzi Wako Anavaa Tai Msaidie Kumvalisha, Msaidie Kumvalisha Mpenzi Wako Viatu, Akitoka Kazini Mpokee Kwa Bashasha.
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
3.Zawadi, Zawadi Humfanya Yule Aliyepelekewa Kukumbuka/Kumkumbuka Yule Aliyempa, Hukaa Kwenye Fikra Zake, Haijalishi Ukubwa Wa Zawadi, Zawadi Zote Zina Mguso Sawa Kwa Wale Wapendanao
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
4.Mguso, Miguso Huwafanya Wanaopendana Hisia Zao Kati Yao Kuwa Karibu, Mguso Unagusa Roho Hasa Unapotoka Kwa Mpenzi Wa Rohoni

Haya Yote Huyafanya Mahusiano Kuwa Hai Muda Wote Hasa Kwa Wale Wanaopendana Kwa Dhati, Hata Mnapokuwa Mbali Huwafanya Kumisiana

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.