TUMIA AKILI IPASAVYO

✔✔ *SOMO :  TUMIA  AKILI  IPASAVYO*

1 koritho 2:11-14 Rumi 1:21-22

Akili ni sehemu Moja wapo aliyopewa mwanadamu avitumie ili kuishinda tamaa na hila za shetani ila akili  Pekee haiwezi lazima apate  msaada wa  Roho Mtakatifu bila msaada wa  Roho Mtakatifu akili Huenda kumpotosha na inapompeleka tofauti ni  Pale huyu  Mwanadamu anapoanza kujiuliza haya  maswali au kuongea haya

1-Hakuna MUNGU au  MUNGU hawezi Tenda hilo

2:MUNGU  Anakubaliana na uovu au kumliganisha au kumchunguza tabua ukimuona Mtu wa hivi Amekwishapotea akili yake imempoteza wengine humtafit MUNGU Na kujiuliza Juu ya Uweza wake

Naposema Tumia  Akili  au  Uwe  Na Akili ya kupambanua vitu  kujitambua Wewe ni mtoto wa kifalme ukasimama na Mungu  Hakuna kushindwa

1:Tambua wewe na nani usijiliganishe na watu ambao hawajapata ufahamu wa kumjua MUNGU  Yaani  Kuokoka wakaachana na Yale ya nyuma

Ukijielewa hilo utasimama  kiroho na utakuwa na kuleta matunda

2:Lazima Uwe na Akili ya kujiuliza Umeangizwa nini au ujiulize wagapi umewaleta kwa Yesu toka ulipookoka

Hili ni swali la kwanza ukifa utaulizwa Basi Kila mmoja Anatakiwa  kusimama  kuieneza injili na wenye wito kuiendeleza  Holy Spirit Ministry  Ulipo na kuhakikisha inasimama Kisha kunijulisha

3:LAZIMA  Uwe  na uhusiano  mzuri na Mungu  Kwa kujitoa kwako kuifanya Holy Spirit  ifike mbali kuomba na kutafuta uso bila kuchoka

Mambo Matatu ukaweke mbele moyoni siku zote

1:Kuitambua Uweza wa MUNGU

2-Kuomba kuabdu kumsifu kujitoa kuwaleta watu kwa Yesu

3:Tambua Majaribu ni sehemu ya kuipima kiwango chako ulipofikia kwa hiyo  Songa mbele usirudi nyuma


Akili yako Ikaanze vyema kwa viwango vya Juu

Naitwa PASTOR RICHARD

Mch.kiogozi WA makanisa YA Holy Spirit Ministry

Makao makuu VETA DAKAWA Tupo  Morogoro

Simu +255759861768

Tovoti www.mchungajirichardi.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.