SOMO: SHETANI , IBILISI

👆🏽✔ *SOMO: SHETANI (IBILISI)*

EZEKIELI :28:12_18

MATHAYO 13:39

Shetani ni nani?

Shetani huwa ni kiumbe aliyeumbwa  na  Mungu   pia ni Malaika aliyeasi na kutupwa hapa duniani 

Mambo ya kujua ni haya Kuhusu shetani

1:Aliumbwa akiwa mkamilifu Alikuwa mmoja wa makerubi Mbinguni hawa ni Malaika waliozunguka kiti cha enzi Mbinguni

EZEKIELI 28:12-14

ALIKUWA NA KILA SIFA  ALIKUWA MCHA MUNGU  ANAYESIFU UTUKUFU WA MUNGU ALIKUWA NA HESHIMA KUMBWA ALIYOPEWA  KATIKA YA MAKERUBI KULE MBINGUNI

EZ. 28:13

, 2:KUAGUKA KWA SHETANI

Shetani alipoona Anaongoza sifa kumwinua MUNGU kuwa ameheshimishwa katika ya Malaika wengine aliingiwa na Sifa hizi

-Dhambi yake
Aliaza kiburi na Jeuri nyingi kama ilivyo Leo anapowaingia watu huwa wanasahau walikotoka hata mtu akiinuliwa tu kidogo anaanza dharau au mtoto wa kiroho Anakuwa hivi huwa shetani anaanza kumtumia

Alijitazamia alivyo
Mzuri
Kuinuliwa kwake
Hekima yake

Mithali 16:18

3 *:BAADA  YA  KUTUPWA  KWA SHETANI*

1:Amekuwa chanzo cha dhambi zote Amekuwa chanzo cha wasio na Imani kuwaagusha kiroho na kuwafanya wa kristo wengi wamuasi MUNGU wa kweli na kufata Mafundisho ya uongo yaharibuyo nafsi zao au kuwapotosha

2The2:7  Mwanzo 3:1-6

*TABIA ZA Shetani huwa ni hizi*

Yeye hujenga uadui na Mungu  Na watoto wa  MUNGU  wanaosimama  kwa Imani na kristo wasivunjwe Moyo au kuaguka na Mambo madongo ya dunia hii wenye misuli ya Imani ndio huwa wanamshinda

Mathayo 3:39

ANAJIDhihirishaje ndani ya mkristo

Shetani huwa roho na kama roho  haifi wala haizidiwi pasipo Imani ya kristo kusimama kwa Yesu hasa

Huwa  mtu mwenye tamaa ya  pesa  huwa linamkamata kwa kumletea hivyo

Mwenye tamaa ya uzinzi humkamata kwa kumletea kishawishi hicho

Mwenye tamaa ya wizi wa fungu la kumi hukamatwa kwa kuletewa Moyo huo usitoe

Shetani huingilia Kati ndani yako

-Kuliimba  Neno LA MUNGU  Yaani nachokufundisha hapa

-Huchukua ufahamu na kukuvurunga kwa kukuinulia  kushindwa  kukata tamaa kuelemewa  na Anasa dhambi na Kurudi nyuma mara kwa mara unashindwa kuwa na ufahamu wa kusimama kabisa kimaombi na kiimani


Kumbe basi  Wewe Jielewe ni  mshindi kwa kuwa licha ya kuwa shetani ni  roho lakini hana uwezo wa kumshinda mtu mwenye Imani

Hata mapepo yake na majaribu hayawezi kumzidi yakamwagusha mtu mwenye Imani


Naitwa PASTOR RICHARD Mch.kiogozi WA makanisa YA Holy Spirit Ministry

Nipo VETA DAKAWA Morogoro

Simu, +255759861768

Tovoti www.mchungajirichardi.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.