MAOMBI MBALIMBALI Ingia hapa
🌳🌳 *MAOMBI MBALI MBALI*🌳🌳
*1:Maombi yakufuguliwa*
2:coritho 10:3-6
Mambo ya kuzingatia uingiapo maombi haya
a. TOBA YA KWELI
b, Kumkiri Kristo (Uokoke uachane na Yale ya kale na Uwe mfatiliaji wa Mafundisho na injili kuihubiri kwa wengi
3:Imani Uwe na Imani
Baada ya Kujichunguza ukajiona upo nayo hii rahisi kufughuliwa
Anza na maombi haya kuombea kufuguka kwa matatizo yako
1:Agalia Tatizo linalokutesa huwa linaanzia wapi
2:Jiulize kwanini huwa hivyo
3:majibu unayopata Sasa ANZA kuomba kwa kufuga mlango unaoingiza Tatizo
Maombi Yake
Baba Ansate Katika jina la Yesu Ninaomba nisamehe Baba nimekukosea sana ndio maana maisha yangu yamevurugika mimi mwanao___Natubu najuta naahidi sitakuacha tena nakataa hali___YA mimi(Taja Hali iliyokufuga au iliyomfunga unayemuombea) nafugulia Afya nakufuga hali ya___sitaki niishi maisha hayo katika jina la Yesu Mnazareth Amen
Hakikisha unalikataa Tatizo na Roho zote zilizoshika wewe uteseke
Gusa sehemu ya pale Tatizo Mfano huzai shika Tumbo ufugulie Uzao
Mfano huoi Huolewi Gusa kidole cha ndoa fugulia mme aje uliyepangiwa fuga nguvu za kijini na ndoa za kijini
Mfano kifafa ngusa kifuani Fugulia Ufahamu komboa ufahamu sema Pepo wa kifafa nakukemea katika jina la Yesu
KAMA Hufanikiwi komboa nafsi na nyota hapa huwa unaomba kuamrisha nafsi nafsi popote maisha yangu yalipotumiwa kinyume na Mpango wa Mungu nayaita maisha yenye mafanikio nyota yangu ikag.aeee katika jina la Yesu Mnazareth
Amen
🌳🌳 *2:MAOMBI YA KUFUGHULIA MANADHIRI*
Hesabu 30
Nadhiri Huwa Maneno na vifugo unavyojifungia kwa kuishi na mpenzi wako pasipo mipango ya ndoa kutoleana Mahali hiyo ujue mtu Kuna kamba inamtafuna Nadhiri ninayoongelea hapa ni ya mwanadamu baina ya Mwanadamu
Upo Unaishi maisha yakuahidi tu usitimize nitakuoa Halafu humuoi au sitakusalit wewe Unakuja kumsalit Mimi nk
Vifugo hivi huwa vinatimizwa na Mungu kama mnaahidiana wawili YUPO ashuhudiaye watatu ambaye huwa MUNGU Yeye huagalia kudhibitisha
Katika kufugua Omba Baba naomba Unafugulie kutoka kwenye Nadhiri katika jina la Yesu Mnazareth Amen
Futa Maneno niliyojifuga pasipo kujua
Futa Nadhiri nilikuweka na mchumba wangu__1__2__3__wataje Kisha kama baba mama itaje hiyo Nadhiri naifute katika ulimwengu wa Roho
🌳🌳 *MAOMBI KWA WAGONJWA*
Baba ansate Katika jina la Yesu Mnazareth natangaza mara Moja___kiachie kiachie kiachie katika jina la Yesu Mnazareth Amen
*Taja ugonjwa unakutesa ukiishika sehemu inayouma*
🌳🌳 *MAOMBI KURUDISHA* *KITU*CHAKO KILICHOPOTEA
Kikubwa Uwe na Imani
Uwe umemkiri kristo kuwa Mwokozi wa Maisha Yako
*Omba Hivi*
Baba ansate Katika jina la Yesu Mnazareth Narudisha pesa yangu niliyopoteza Narudisha Amani katika ndoa Yangu narudisha_____Taja endelea kuamka kurudisha kukomboa kurenjesha Tumia muda mwingi kuwa unaomba mara kwa mara
🌳🌳✔ *MAOMBI YA KUREJESHA NAFSI*
Baba ansate Katika jina la Yesu Mnazareth kuanzia Sasa nakomboa nafsi yangu iwe ipo makaburini njia Panda Kwenye chupa popote pale maisha yangu walipoyafungia lazima yaachie Nasema lazima itokee na inifate katika jina la Yesu Mnazareth Amen
Wewe omba kukomboa nafsi tu g.ag.ana mara kwa mara maisha yako na mipango ukibomoa kuta za kijini mapepo wachawi
🌳🌳 *MAOMBI YA TOBA*
Baba natubu mbele zako unisamehe nilipokosa au kwenda kinyume katika jina la Yesu Mnazareth Amen
Hapa jinyenyekeshe sana Tena sana
🌳🌳 *MAOMBI KWA ajili ya Wachawi Usiku*
Mambo haraka haraka usiku unateswa Na wachawi
1:Kushituka shituka wachanga usiku
2:Kuliaa sana usiku saa 7_10usiku
3:Mwili kuchoka ukiamka
4:Mipaka kulia Mfano watoto panya wakumbwa mijusi mikubwa mwili kisisimka hofu usiku mbuni kulia Nk
Omba Hivi
Kuanzia Sasa natamka wachawi wote kuanzia mwenyekiti karibu wao na wajumbe wao barabara zao midunde yao popote watakapogusa watakutana na Moto wa Yesu maana mimi ni Moto katika jina la Yesu Mnazareth Amen
Hakikisha wewe ni mfatiliaji wa masomo haya yameshaingia nawe upo fire
🌳🌳🌳 *MAOMBI YAKULALA*
Baba ansate Katika jina la Yesu Mnazareth nakushukuru Kila hatua umeniwezesha kuwa mshindi nifanye Endelea kunilinda hata Sasa nakabidhi viugo vyangu kwako uvilinde katika jina la Yesu Mnazareth Amen
🌳🌳 *MAOMBI YA KUFUGUA WADENI WAKO*
Nafugulia madeni yote katika jina la Yesu na hata NAO wadai nafugulia katika jina la Yesu Mnazareth waaze kunilipa Nataka nikufanyie____katika pesa yangu MUNGU WANGU
Amen
Hapa MUNGU huagalia Mambo Matatu utamfanyia nini je Umejitoa kitu chochote hata ukapeleka vitabaa kanisani huwezi kumshawishi MUNGU Kama katika Mali yako au kitu chako mgumu ndio kigezo
Cha kushinda kutapeliwa kudhulumiwa nk
🌳🌳🌳KUOMBEA MTU ANayetumia vilevi
Mbangi madawa Pombe
Anza na Kumpa SOMO Juu ya madhara na Asali muulize faida alizozipata akutajie
Pili Eleza kwa upana somo kama ni kijana gusa Mambo ya Ujana kama Mzee gusa Mambo ya kizee
Kisha Muache nenda naye taratibu mpaka masomo ya mwingie abadilishe Tabia usimfokee usipaniki nenda naye kama rafiki yake Ukisoma Uelewa wake Juu ya atumiacho
*Akiokoka muogoze Toba
*
Eee Bwana YESU ninakuja kwako mimi mwenye dhambi nimekukosea Mengi kwa kujua na kutokujua nilikuwa naiba Mzinzi mlevi nisamehe naifute kwenye kitabu cha hukumu niandike kwenye kitabu cha Uzima nakiri sitakuacha namkataa shetani na tamaa zake Eee Yesu niongoze amen
🌳🌳 *MAOMBI KURUDISHA* MMEO
Baba nisamehe naomba umrudishe mme wangu nguvu yoyote iliyomshika mme wangu natuma Moto Moto napindua mawazo yake nayashika nayaongozo Yakawaze Nyumbani arejee Tutuze ndoa yetu katika jina la Yesu Mnazareth kuanzia Sasa namwita kwa nafsi yake___Mtaje Endelea mpaka maombi yAkate
Shughulikia falme za kijini
🌳🌳 *MAOMBI YA BINT AMBAYE HUJAOLEWA* 🌳🌳au kijana ajaoa
Natuma Moto kufungua yule Jini anzura anayeshughulika na mabint wasiolewe vijana wasioe lazima aachie ndani yangu maana mwili wangu MOTO NA mme/mke Moto lazima uachie katika jina la Yesu Mnazareth
Amen
🌳🌳 *MAOMBI YA NDOA Zilizovunjika* 🌳🌳
Natuma Moto kuuguza huyo Jini Maradi anaye vunja ndoa za watu namuunguza aachie ndoa Yangu Na alikompeleka mme wangu mke wangu Nampa mateso ya Moto huyo Jini Maradi mkuu wakuvunja ndoa za watu Leo nakuendelea argue na kuteseka mpaka anirudishie Mme wangu Awe yumo ndani yako kwa mmeo Moto wa Yesu aliketi Mahali PA Juu umtese endelea
Maombi yako shughulikia Tu huyo jini
🌳🌳 MAOMBI YA WANAOHARIBU MIMBA
*
Natuma Moto wa Yesu Moto Moto lazima Jini sumira Anayefanya mimba iharibike lazima augue Katika jina la Yesu Mnazareth
Shughulikia Jini huyo tu shika kizazi komboa bomoa makazi yake
🌳MAOMBI KWA kutokwa damu kutoblind Tumbo kuuma
Natuma Moto wa Yesu huyo Jini Subiriani lazima aachie alipo shika katika jina la Yesu Mnazareth Amen
Shughulikia huyu Jini tu shika uombee kwa Imani tu
🌳🌳MAOMBI KWA Wasiofanikiwa🌳🌳
Natuma Moto wa Yesu huyo Jini Murafali anayeshika Mafanikio ya katika jina la Yesu Mnazareth lazima aachie hatua zako Mafanikio yako
Shughulikia huyu Jini Mtaje kwa jina ndie Pepo Kiongozi anayezuia usifanikiwe
🌳🌳 *MAOMBI KWA UPOTEVU WA PESA* 🌳🌳
Natuma Moto wa Yesu Kwa Jini Ratifu ambaye amekuwa anapoteza pesa zako lazima anirudishe kwa mamlaka ya jina la Yesu Mnazareth
Shughulikia huyu Jini tu ndiye mhusika
🌳🌳MAOMBI YA MTU Ateswaye chuma ulete
Natuma Moto wa Yesu Pepo liloshika uchumi wako Jini johari lazima aachie Nafunika Moto wa Yesu Kila uwekapo pesa zako hatazichukua tena katika jina la Yesu Mnazareth
Shughulikia huyu Jini wewe pesa haiturii mkononi
🌳🌳MAOMBI ya Kumpokea Kristo
Kabla ujaingia vita anza na Sala hii mkabidhi Bwana Maisha Yako
Ee Bwana YESU Nakuja mbele zako mimi mwenye dhambi naifute kwenye kitabu cha hukumu niandike kwenye kitabu cha Uzima niwe Moja ya watoto wako wanaongozwa katika Roho Mtakatifu Namkataa shetani na tamaa zake katika jina la Yesu Mnazareth
Amen
Hakikisha unaomba sio kunog.ona Tamka Maneno shughulikia Jini huyo tu
Tayari umeshaokoka Sasa Fata utaratibu na kutafuta makanisa ya Holy Spirit Ministry Ulipo au kanisa la kipetekoste hapo uzidi kufundishwa au Fatilia fb MASOMO mara kwa mara
✔🌳🌳 *KILA JAMBO UNALOPITIA Limebeba Maana kumbwa kwa Mungu sana* Unatakiwa ulishinde kwa kuomba kukemea na kukataaa Mambo ya shetani na kazi zake kemea tu. PEPO ANAKUACHIA
Umezaa Uzao wako wote walevi au mayalaya wagomvi sana nk
Usilie ujue Kunatatizo ulilifanya wewe lilokinyume na Mungu kabla hujawazaa au uliwalea nje ya misingi ya kumjua MUNGU
Ukiona Unadhurumiwa Pesa hulipwi pesa Ujue wewe Unaitaji ufundishwe Juu ya Utoaji pesa zako unazitumia kujenga Mambo ya shetani
Hapa ujue huwa mwizi wa fungu la kumi Soma kwenye Tovoti
Lakini Kuna mapito mengine kukupima Imani Mfano
Unaugonjwa ukiombewa hauponi ujue MUNGU amerusu akuone utasimama wapi
Ukiwa unavuka magumu unakosa hata pesa ya kula ujue ni mapito
Ukiwa Unaomba omba kutokana na Shida yako
*By PASTOR Richard Founding of the Holy Spirit Ministry*
*Morogoro VETA DAKAWA*
Simu +255710889892
Voda +255759861768
Tovoti www.mchungajirichardi.blogspot.com
*** FOLLOW fb Moto wa Yesu*
Maoni
Chapisha Maoni