WENYE HERUFI E NJISI YA KUFAnikiwa

✍🏾✍🏾Njisi YA KUFANIKIWA Wenye Majina Ya HERUFI E

HAYA FATENI ILI Mkawe Washindi

1-kuweni wenye kujitoa kwenye maswala ya Mungu

2-Kuweni Watu Wenye Msimamo

3-Pendeni Mungu na kushika

4-Epukeni Kutengemea Kusaidiwa

5-Jitume kujishughulisha chochote

6-Usiwe kigeu geu wakuhama hama na MTU usiye tulia

7-Wajitume kufanya kazi waepuke kutengemea MTU katika kazi zao

MWENYE JINA HILI HARUSiWI AWE NA URAFIKI NA MTU AU ABWETEKE ASIFANYE KAZI ASimame YEYE KAMA YEYE NGUVU ZAKE ELIMU YAKE NDIVYO MSAADA WAKE VIGINEVYO ATAJUTA  Asimamie  Miladi yake mwenyewe Kazi zake asichanganye Mali zake na MTU mwenye herufi Tofauti naye

By Pastor Richard

MOROGORO shukia VETA DAKAWA

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.