Mwaka 2018 Mambo yawe mapya Mtazamo mpya Holy sprit Mpya upako mpya na Nguvu isiyoyakawaida

Nakuombea Uvuke ukiwa na Afya mpya Kazi Ajira Mme Upako WA Maombi Holy Spirit Ministry Mpya Pastor Richard Akawe mshindi  na kuinuliwa zaidi Kuharibu Kazi za shetani kila Tatizo likawe chini Yangu mwaka WA Baraka Tena Nguvu ya Roho ukitembea na wanangu  wote kila shida zikatatulike Mwisho WA kulia  kwako

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

MAOMBI YA USIKU WA MANANE 2025

KITABU IJUE NDOTO YAKO