MAOMBI HUJIBIWA KWA MUDA GANI

✍🏾✍🏾 *MTU HUJIBIWA* *BAADA YA MUDA GANI*🔥🔥🔥

Ukimuombea/Ukiomba majibu huletwa baada ya Muda GANI..?

Miongozo Biblia

Kutoka;23;30
Nitawafukuzisha kidogo kidogo watoke mbele Yako

*Obadia* :1:17.  

KUMB. TORATI. 7;1-2

HABAKUKI; 2;3
*
✍🏾✍🏾Watoto wengi wamefikia wakati wanajichanganya nakukata Tamaa WATU 

MAJIBU HUJIBIWA KULiNGANA na Uvumilivu na Subira  Yako

Watu ambao huwa hawajibiwi wasio kuwa na Imani

Wenye kukata tamaa

Wenye kupuuza neno

✍🏾✍🏾MUNGU HUJIBU BAADA YA Muda huu toka uombewe.

*1⃣Dakika*
Muda WA dakika kazaa unapokea  majibu hupokea MTU.

*2⃣Siku*
Muda WA siku kazaa MAJIBU yako hupokea na kutendewa

*3⃣Wiki*

Muda WA wiki Tu MTU hupokea majibu Anapombewa

*4⃣Miezi*
Muda WA Miezi tu huwa lazima MTU afuguliwe ajibiwe Kila anapoombewa MTU.

*5⃣Mwaka*

Muda WA mwaka tu HUJIBIWA MTU na kufuguliwa

✍🏾✍🏾.ILI Upokee Majibu Yako

1- Uwe nasubira

2-Usirudi nyuma

3-Kazana kufatilia neno nakupenda

4-Shika neno moja tu LA kujitoa kwa MUNGU katika
-Kushuhudia
-Kuwa balozi wake
-Fungu LA kumi
-Maombi tunayoomba usiku

✍🏾MUNGU yupo kunituma nikuletee Majibu cha kusikitisha kila ninapoletewa unakutwa umekata Tamaa nawapatia wanangu wengine namwambia  Baba tumpatie Fulani hebu muyapokee majibu yenu

Share kwa nduguyo mwambie kwanini Anakata Tamaa

🔥🔥By *Pastor Richard*

From MOROGORO shukia VETA DAKAWA

Mch. Kiongozi Holy Spirit Ministry

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.