Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2017

MWANAMAOMBI ZIGATIA HAYA ILI UJIBIWE

✍🏾✍🏾Mambo Yakuvaa moyoni  KWA  Mwanamaombi ili Apambane mapambano yenye kuleta majibu✍🏾🌴👇🏾 Mwanamaombi inatakiwa zigatia haya ndio dirii na siraha yako yakivita. 1;Usizini 2!Samehe  na achilia 3;Soma neno LA MUNGU 4!Ita damu ya Yesu 5!Omba toba naombea toba waliokukosea 6!Mkaribishe Roho Mtakatifu 7! Upende  watu wote bila kuagalia yukoje 8!Mbebe asiyejiweza kuomba 9!Inua Huduma na kuipanda nduniani na kuomba watenda kazi waaminifu 10!Linda madhabahu ya Pale MUNGU alipokuweka 11; Mheshimu MUNGU na Baba yako mlezi hapo Msikilize na kutii kufata Aelekezavyo Yeye 12!Usiwe MTU WA udhaifu 13; Usichoke au kurudi  nyuma ujiugapo na kikundi hiki 14; Tukeshe na Kuomba kila siku Amri zinazotumika 1:Tuma jeshi LA malaika WA vita likiongozwa na mikaeli Natuma natuma malaika WA vita wakashike njia zote za wachawi nafunga njia zao midawa yao....endelea kadiri maneno yajavyo 2!Jiamini Na usiw...

JUA MAMBO MHIMU KABLA UJAINGIA KWENYE NDOA

Picha
SOMO ✍✍_YAJUE YAFATAYO KABLA UNAINGIA KWENYE MAHUSIANO_ 🌴🌴🌴🌴🌴🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲 1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote. 2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya Ndoa. 3.Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema. 4. Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote. 5. Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu. 6. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu asiye sahihi. 7. Aina tatu za wanaume wakuepukwa: (a) Walevi (b) Wazinzi (c) Wagomvi. 🌴🌴🌴🌴🌴🐆🐆🐆🐅🐅🐅🐅 Aina tano za wanawake wa kuepukwa;    (a) Walevi    (b) Wazinzi    (c) Wa chawi    (d) Wagomvi    (e) wasio tii 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🐆🌴🌴🌴 8 .Kuolewa na Mchekeshaji hakutakufanya uwe na Ndoa yenye furaha. 9. Maneno matatu yanayojenga a...

JUA MAMBO MHIMU KABLA UJAINGIA KWENYE NDOA

_MHIMU UJUE HAYA KABLA YA NDOA_ 🌴🌴💓💓💓💓 _YAJUE YAFATAYO KABLA UNAINGIA KWENYE MAHUSIANO_ 🌴🌴🌴🌴🌴🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲 1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote. 2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya Ndoa. 3.Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema. 4. Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote. 5. Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu. 6. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu asiye sahihi. 7. Aina tatu za wanaume wakuepukwa:6 (a) Walevi (b) Wazinzi (c) Wagomvi. 🌴🌴🌴🌴🌴🐆🐆🐆🐅🐅🐅🐅 Aina tano za wanawake wa kuepukwa;    (a) Walevi    (b) Wazinzi    (c) Wachawi    (d) Wagomvi    (e) wasio tii 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🐆🌴🌴🌴 8 .Kuolewa na Mchekeshaji hakutakufanya uwe na Ndoa yenye furaha. 9. Maneno matatu...

NJISI MUNGU ALIVYOPANGILIA MAISHA YAKO

WALAWI.13 YEREMIA. 1;5 1:HATUA YA KWAN ZA Kuzaliwa MUNGU alipanga uzaliwe na uje hapa duniani Uishi na kumwabudu yeye NA kumtumikia . 2; HATUA YA PILI .ALipangilia mtiriri ko utakaouishi na kupitia mpaka kufika alipokuandalia Mapito yote aliweka 3: Hatua ya Tatu Alipangilia majaribu na mawazo vish awishi   ambavyo hutakiwa ushinde   na Kusonga mbele sio ukate tamaa 4; Hatua Ya NNE Alipangilia ukombozi wako Mtumishi atakayekulea kiroho na imani utakayo kudumisha kwake 5; Hatua Ya Tano Alipangilia viungo ufahamu na vitu mbali mbali akakupa   uwezo uvitumie vyema lakini ukikosea vinakupoteza na   kukutenga naye 6; Hatua Ya Sita Alipangilia NJEMA na Mbaya akakuelewesha kuwa mema ni yangu utendapo mema   unanitukuza Mimi   ukitenda maovu unamtukuza shetani kaa utumie akili na viungo nilivyokupa akamaliza . 7; Hatua Ya SABA Alipangilia kuamini na kutoamini Aka...

SABABU YA UTASA na UGUMBA

✍🏾✍🏾Somo; UTASA AU UGUMBA✍🏾✍🏾 Miongozo Ya Biblia Tufunue Kutoka:25;26. Mwanzo: 11;30 ☝🏽Utasa ni nini? Ni MTU aliyefungwa kizazi au Uzao na ufalme WA majeshi ya shetani asizae au kuzaa. MTU huyu huweza kuwa mwanaume au mwanamke UTasa Upo Unagawanyika katika Makundi 2 1⃣ Utasa uliorusiwa na MUNGU kama daraja LA kumjua MUNGU 2⃣Utasa WA kufungwa  na falme za Giza majeshi ya kuzimu Yanachukua uzao wako. ✍🏾✍🏾UTasa WA kufungwa visababishi huwa 1;Uzinzi 2;waganga 3!Uchawi 4!Majini 5!Mapepo 6!Ndoa za kipepo 7!Matumizi ya vilevi kwa wingi. Kama drugs abuse(Madawa ya kulevya.pombe kali  nk. 8!Mizimu 9!Majina ya kurisi au ya kujiita Tu. ☝🏽☝🏽Haya ndio Huwa mlango WA majeshi ya kuzimu kuingia nakufuga uzao wako usizae. ✍🏾✍🏾UTASa WA MUNGU Huu huwa utasa unaorusiwa Na MUNGU upitie wakati huo ili Uweze kumjua ...

NJISI MUNGU ALIVYOPANGILIA MAISHA YAKO

SOMO 👉 Mungu alívyopangilia maisha Yetu 🏆🏆Mungu ameyapangilia maisha yako Kama ifatavyo WALAWI.13 YEREMIA. 1;5 1:HATUA YA KWAN ZA Kuzaliwa MUNGU alipanga uzaliwe na uje hapa duniani Uishi na kumwabudu yeye NA kumtumikia . 2; HATUA YA PILI .ALipangilia mtiriri ko utakaouishi na kupitia mpaka kufika alipokuandalia Mapito yote aliweka 3: Hatua ya Tatu Alipangilia majaribu na mawazo vish awishi   ambavyo hutakiwa ushinde   na Kusonga mbele sio ukate tamaa 4; Hatua Ya NNE Alipangilia ukombozi wako Mtumishi atakayekulea kiroho na imani utakayo kudumisha kwake 5; Hatua Ya Tano Alipangilia viungo ufahamu na vitu mbali mbali akakupa   uwezo uvitumie vyema lakini ukikosea vinakupoteza na   kukutenga naye 6; Hatua Ya Sita Alipangilia NJEMA na Mbaya akakuelewesha kuwa mema ni yangu utendapo mema   unanitukuza Mimi   ukitenda maovu unamtukuza shetani ...

Kijue kitabu cha Agano Jipya full chote

🎤🎤IJUE Biblia VIZURI🎻 🌏KARIBU Ujue Agano Jipya🌲🌲 Agano jipya ni kitabu kinachokusanya Maisha ya Yesu na mitume wake aliotenda nao kazi kuazia kuzaliwa kwake mpaka kupaa kwake. 🌳🌳Ni kitabu cha kipekee kilichokuja kunena unabii WA maisha ya mbeleni  na kutuongoza pakusimamia na kutufunulia mengi Tuliokuwa Hatuyajui. 🌴🌴Yesu ni nani? Ni MUNGU mwenyewe aliyejivika vazi LA kimwili nakuja Hapa duniani kuokomboa ulimwengu Uliokuwa umemuacha MUNGU na kuishi maisha ya dhambi. Tunaelezwa Kuhusu Yesu Yohana.1;1-6 Wengi mpaka Leo humfananisha Yesu Na mwingizaji mmoja aliyekuja  kuichochea Imani ndani mwa watu Briton Deacon Kitu ambacho Yesu alikuwa ameshapaa ✍🏾✍🏾Agano jipya  Limeandikwa na waandishi tofauti tofauti mitume na wanafarisafa mbali mbali. Katika Mazingira tofauti tofauti nyakati tofauti 👁👁UFaFanuzi WA Agano jip...

NJISI YA KUFANIKIWA KUPITIA NYOTA YAKO JINA LAKO

👉🏽 *NJISI  YA MAJINA  KUFANIKIWA KUAZIA HERUFI A-Z* _Pastor Richard_ From MOROGORO _WENYE HERUFI A_ 1:Anashauriwa Asimamie  katika Msimamo wake Asiyumbishwe 2;Ajiamini kwa kila jambo Afanyalo 3!Awe MTU WA IBADA NA Ushirika Na MUNGU 4;AJIREKEBISHE SIFA Zisizo faa kama Kiburi ugomvi nk aache. 5;Ajichanganye na wengine asijitenge tenge 👉🏽 _WENYE HERUFI B_ 1; Ajiepushe na makundi marafiki 2; ASIMAME Katika sifa zake asifate mkumbo 3;Awe  mtetezi kwa waliodhaifu 4; Asimame Na MUNGU asimuache 5; Abadilishe Sifa  zisizofaa ajirekebishe 👉🏽 _WENYE HERUFI C_ 1;Huyu Anashauriwa Tabia ya kubadilika Badilika Waache. Wasimame na malengo yao 2;Wasivunjike Moyo wawe jasiri 3;Wamuweke MUNGU mbele waache kubabaika Mara wanarudi nyuma Mara wanasimama 4; Waheshimu Ndoto zao 👉🏽 _WENYE HERUFI D_ 1; Wanashauriwa waendelee na msimamo yao Kupenda Hali. Waepuke Ujeuri wawe watu wenye kujishus...

NJISI YA KUFANIKIWA WEWE KUPITIA SIFA YA MAJINA NA NYOTA

👉🏽 *NJISI  YA MAJINA  KUFANIKIWA KUAZIA HERUFI A-Z* _Pastor Richard_ From MOROGORO _WENYE HERUFI A_ 1:Anashauriwa Asimamie  katika Msimamo wake Asiyumbishwe 2;Ajiamini kwa kila jambo Afanyalo 3!Awe MTU WA IBADA NA Ushirika Na MUNGU 4;AJIREKEBISHE SIFA Zisizo faa kama Kiburi ugomvi nk aache. 5;Ajichanganye na wengine asijitenge tenge 👉🏽 _WENYE HERUFI B_ 1; Ajiepushe na makundi marafiki 2; ASIMAME Katika sifa zake asifate mkumbo 3;Awe  mtetezi kwa waliodhaifu 4; Asimame Na MUNGU asimuache 5; Abadilishe Sifa  zisizofaa ajirekebishe 👉🏽 _WENYE HERUFI C_ 1;Huyu Anashauriwa Tabia ya kubadilika Badilika Waache. Wasimame na malengo yao 2;Wasivunjike Moyo wawe jasiri 3;Wamuweke MUNGU mbele waache kubabaika Mara wanarudi nyuma Mara wanasimama 4; Waheshimu Ndoto zao 👉🏽 _WENYE HERUFI D_ 1; Wanashauriwa waendelee na msimamo yao Kupenda Hali. Waepuke Ujeuri wawe watu wenye kujishus...

JITAMBUE MZALIWA WA NGAPI UMEBEBA NINI

SOMO: JITAMBUE WEWE MZALIWA WA NGAPI NA THAMANI.. Kila mtoto huwa anakitu ambacho Mungu Alimwandalia Toka Tumboni  Mwa Mama Yake katika somo hili utaelewa talanta ulionayo toka utotoni. Naitwa Pastor Richard Wa Morogoro                     KA RIBU Kumb 33:1-9, Mwanzo 49:3-7; 1Kor 2:10 Kila mwanadamu aliyeumbwa na Mungu Aliye Hai, ameumbwa na nguvu maalumu kutoka mbinguni, ambayo ni mtaji wake maalumu; kiroho, kijamii na kiuchumi. Mwanzo 49:3 Reubeni u mzaliwa wangu wa kwanza,nguvu zangu na malimbuko ya uwezo wangu. Umewapita wengine kwa ukuu na nguvu. 1. MZALIWA WA KWANZA KATIKA FAMILIA YOYOTE* i. Amebeba nguvu nyingi za familia. ii. Amebeba Baraka za aina mbalimbali za wadogo zake. iii. Amebeba nguvu ya upendo ndani ya familia. iv. Mzaliwa wa k1wanza ni lango, Zab 24:7-9, ambapo Baraka zote za familia kutoka mbinguni zinapitia kwake na kuwafikia wadogo zake wote. v. Amebeba ustawi wa familia kiroho na kimwili. 2:MT...

UBATIZO UNAOTAKIWA NI HUU

✍🏾✍🏾KWA HABARI YA UBATIZO ULIOAMRIWA NA YESU Mnazareth✍🏾✍🏾 Mch. Richard Kutoka MOROGORO VETA DAKAWA Utangulizi↘ Ufafanuzi Kuhusu kuzaliwa kwa maji mistari. 3!6 "kilochozaliwa kwa mwili ni mwili kilochozaliwa kwa Roho ni Roho. Roho ni Roho na mambo yake huenda kiroho ni Mwili ni mwili na Mambo yake huenda kimwili MAANA YA MANENO HAYA. 1!Maji=Mafundisho ya neno         2!Roho=Katika Roho Mtakatifu 3;Kuzaliwa=Kuwatoa kwenye fikira za kale damu na nyama nakuwaleta katika fikira za Rohoni.(kilochozaliwa kiroho ni Roho. 4;Kubatizwa; Kuwahubiria/Kuwashawishi watu 5;Wanafunzi; wafuasi WA Yesu mnazareth. ☝🏽☝🏽UTofauti ya watu walienda na Maandiko katika mwili nakujikuta Roho bado ikawa inapoteaa mkristo unamkuta kanisani yumo uchawi yeye ulevi yeye Uzinzi yeye kwakuwa Yupo kimwili Anaongozwa kimwili. Yohana.3;1-10 Utabiri WA Yohana kuhusu Ubatizo WA Roho Mta...

MAFUNDISHO YA WACHUNGAJI

🔥🔥Mafundisho Ya Wachungaji🔥🔥 Njisi ya kumkomboa MTU ateswaye na Vifungo vifatavyo .1;,Haolewi/Haoi /Anayeumizwa 2;Mwenye majini/Mapepo/uchawi/uganga/ ☝🏽☝🏽Tahadi Kwanza Umjenge kiimani na kumfundisha neno. ☝🏽☝🏽Mwondoe hofu nawe ondoa  maswali sijui atapona au sijui atafunguliwa nk 🔥🔥Hatua zakumuwashia fire🔥🔥 ✍🏾 Jiamini ✍🏾Tafuta mistari Wenye nguvu ✍🏾Ita damu ya Yesu ✍🏾Tamka kwa Amri sauti iliyokaza sio kulegeza ✍🏾Jina taja Yesu mnazareth ✍🏾Usiwe na hofu ✍🏾Ukiona korofi likate mikono/miguu Halafu charaza fimbo za Yesu mnazareth rukisha kichurachura Harafu liamru litoke lisirud ✍🏾Tambua wewe ni Mchungaji wangu kama njisi nilivyo  na umoja Mimi na Baba yangu Tabua hata wewe Amekushika 🖐🏼🖐🏼M...

SOMA UNAJUA KWANINI HUJIBIWI HATA KUBADILISHWA KIROHO NA KIMWILI

SOMO🎤🎤Ijue Madhabahu ilivyo na Majibu yako ukisimama Nayo ✍️✍️Leo Tunataka Tujifunze Madhabahu Njisi ilivyo na nguvu ya KUKUFANYA upokee majibu au Usipokee Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi 👉👉1wafalme;18;25-32✍️Kutoka:20;26, 24:4,29;37 Mathayo;5;20_26                  ✍️✍️✍️ UTANGULIZI ✍️✍️✍️ Madhabahu huwa Ni Mahusiano yanayompatia uhalali mtu wa Kupokea au Asipokee kumtambulisha mtu Anamuwakilisha Mungu au Shetani Pia Madhabahu huwa Ni Kitu kilichomo ndani ya Mtu Yenye uwezo wa Kutenda vitu kwa wakati na kwa watu husika wanaoendana Pamoja na ile Madhabahu Mchungaji Kama Hana Madhabahu inayoongea kwa Habari ya Tatizo lako hata akuombee vipi huwezi kufunguliwa mpaka ukutane na Madhabahu yako itabadili historia Tusome hadhi hii 1 wafalme 18 Tumuone Mtum...

MAOMBI YAKUJENGA MADHABAHU WEWE NA MUNGU ALIYE HAI

🎤✍🏾MAombi YA Madhabahu kuujenga wewe na Mungu✍🏾🎤 Madhabahu huwa nini? Ni mahusiano unayojenga baina yako na MUNGU Madhabahu humtambua MTU kwa 1;imani 2;Dhabihu sadaka 3;Mahali alipopewa Baba WA kiroho Amlee ✍🏾✍🏾Madhabahu hujengwa ndani ya MTU na ukiona upo kanisani miaka yote hubadiriki kiroho au kimwili maisha yako hata maombi huwezi nk. ✍🏾✍🏾Ujue Hiyo Madhabahu sio mahali alipokuandalia kupokea majibu au Mabadiliko yako. ✍🏾🎤Madhabahu hujengwa ndani ya MTU katika kuweka mahusiano mazuri ya pale Anapokuwa MUNGU amemuweka alelewe vitu 1:Imani 2!sadaka 3;Maombi Akifanya haya anatoa zaka halafu hapokei au hainuliwi kiroho ujue ile madhabahu haineni juu Yake kaa Umuombe MUNGU Roho Mtakatifu atakushuhudia utakaposimama Kwa muda mfupi ukaona mabadiliko ya kiroho basi tulia hiyo Madhabahu ndio inakutambua tulia na Huyo mch. Kuwa mmoja watoto wake toa zaka sadak...

LAANA NA BARAKA HUKUPATAJE

.    🍇🍇SOMO;✍🏾Laana na Baraka ndani Ya Watoto WA MUNGU🍇🍇🐑🐑 👉🏼👉🏼Miongozo ya Biblia Tusome: Kumb.11;26-27        mithali.3;33         Walawi.3;65         Joshua.8;34          Yakobo. 3;10 Soma mstari huu👇🏾👇🏾 Wagalatia:3:13 Galatians 3:13 [13]Christ hath redeemed us from the curse of the law, being made a curse for us: for it is written, Cursed is every one that hangeth on a tree: Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti; ☝🏽☝🏽Ufafanuzi katika mambo haya Mawili⛪⛪ 1⃣;-LAANA ni nini? Laana ni hari inayompata MTU ya kupigana na mfumo au Maisha Yake kujawa na ...

SOMO:NDOA

✍️✍️SOMO; NDOA Mwanzo;2:20-24 Mithali;14;1-3 Mithali;7;7-10 ✍️✍️DARASA LA WANANDOA ✍️✍️ MWALIMU WA WANANDOA ✍️✍️Nipo Morogoro Veta Dakawa Habari za muda huu....ndugu jamaa na marafiki....bila shaka sote tu wazima na wa afya njema....wenye maradhi Mungu muweza awajaalie uzima.....na afya.... Bila ya shaka kila mmoja amekuwa akijiuliza swali hili na kila mmoja amekuwa na tafsiri yake kwa namna anavyoona yeye kwenye ulimwengu wake....... NDOA tafsiri yake ni..... Muunganiko wa nyoyo mbili zilizopendana kwa dhati....na kuamua kuishi pamoja katika kipindi chote cha maisha yao....wakilifurahia pendo lao...... Kwa maana hiyo NDOA ni tukio lenye furaha na kuishi ndani ya ndoa....ni jambo la furaha....na kutumia kipindi chote cha maisha yako...na yule ambaye ni chaguo la moyo wako....ni jambo la furaha na lenye kusisimua zaidi..... Lakini vile vile kuishi na mtu hata kama nyoyo zenu ...

SIRI ILIYO WEKWA NA MUNGU NDANI YA UJANA

⛪⛪Somo: SIRI Iliyowekwa na MUNGU ndani ya Ujana wako👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 Maombolezo:3;27 ✍🏾✍🏾Kijana kwa Hapa Tanzania katika sheria au utaratibu WA kumtabua katika katiba inasema  kijana Anaanzia miaka 18 mpaka 49 Miaka 50 huyu ni MZEE mpaka 100 Kijana inamtambua sheria kuwa ndio mwenye nguvu ya Kuifanya nchi yetu isonge mbele kimaendeleo na kukua kiuchumi nk Ni kijana inamuelezea na kumpa umhimu na sifa zake Lakini inamtaja kuwa ndio nguvu kazi ya Taifa LA Tanzania Kwa hiyo ili ujana wake uwe na faida lazima Afanye mambo matatu katika nchi Yake 1⃣-Ajishughulishe kwa njia halali tena kwa jasho lake anapojishughulisha  Anaingiza kipato kwenye mfuko WA Taifa. Hali itakayoifanya nchi Kupiga hatua ya kiuchumi. 2⃣-Atii na kufata mamlaka au Utaratibu WA nchi Yake pasipo kuvunja sheria za nchi. Hali itakayomfanya awe mzalendo na Nchi Yake Na mamlaka ...

MME/MKE WA SHEETANI ANAVYOKUWA SIFA ZAKE

✍🏾🌳🌳Yajue ndoa/Mahusiano ya shetani Au MTU aliyepewa mke/Mme na shetani Huwa ndoa mahusiano yanakuwa Hivi Soma ujue✍🏾🌳🌳 Muongozo WA Biblia Tunasoma⛪⛪Mwanzo:3;1-9 Katika watoto wengi WA MUNGU wamepokea wachumba  ndoa zilizopangwa na shetani pasipo kuelewa nao wamenaswa katika mitengo hiyo Na shetani saivi Amejinafasi katika maisha yao Baadala Ya MUNGU wetu kushika ndoa zao zimeingiliwa na shetani kwakuwa tu walichangua imladi tu waoane Haya ndio yanakujulisha ndoa uliyonayo si MUNGU Mwanzo;2!24 1⃣-Huwa ni watu wasiovumiliana madhaifu yao hawa watu. 2⃣-Huwa ni watu wasioshirikishana  kila mmoja anafanya Yake na mipango Yake. Hawa watu huwa wanasifa hii. 3⃣-Ndani hutawala chuki ugomvi mabishano ndoa hii Haina Amani. 4⃣-Wakipishana kauli tu huwa ni ugomvi hawajui kusameheana au kuombana msamaha 5⃣-Huwa ni watu wanaopishana Imani wanaopishana MUNGU wanaemwabudu mwingine An...

BAADA KUKOMBOLEWA UNATAKIWA UTUZE MUUJIZA WAKO

✍🏾✍🏾Somo; Njisi Ya kutuza Uthamani WA Utoto WA MUNGU na Kusimama katika MAOMBI Mwenyewe✍🏾✍🏾👇🏾👇🏾 Waefeso;6;11 "vaeni silaha zote za MUNGU mpate Kuweza  kuzipiga hila za shetani. 1⃣☝🏽-Lazima Tuwe Na Imani isiyo na MASHAKA mbele za MUNGU.tusikate Tamaa Au kuona MUNGU Amechelewa katika Yale Tumuombayo Tusimame naye tena kwa akili zetu Mali zetu elimu zetu kuujenga ufalme wake Tukimsifu na kuitoa  miili yetu kwa ajili Yake. 2⃣ Warumi;1;17' " Kwa maana haki  ya MUNGU inadhihirishwa ndani Yake toka Imani Hadi imani. ✅Hakuna kitu kitakachoturudisha  nyuma au kutuvunja moyo -Hakuna Pepo mizimu Maroho Tutakaposimama naye imara tutakuwa mawakili wazuri WA Imani Yake naye hatatuacha sisi. Tunatakiwa tushukuru kila jambo watoto WA MUNGU tuache malalamiko manug.uniko yanatukosesha tusijibiwe au msipokee Mimi napowaombea Shetani  huwa zake Anajiinuaga ...

KUTOKA KWENYE MADENI KARIBU USIMAME NA MAFUNDISHO HAYA

🌴🌲🌲Somo; Kwanini Unateswa na Madeni🌲🌴🌴 🌳🌳Kumb.Torati; 15;4-6🌳 ❓❓Hivi ulishawahi kujiuliza toka lini mtoto WA mfalme anaweza kwenda kukopa au akadaiwa wakati Yeye ndio baba Yake mwenye  pesa mpaka basi. ⁉sasa wewe kwanini unadaiwa ✔Dawa ya Deni si kulipa na kitu kipi kukufanya ushindwe kulipa madeni mpaka Leo mtaani mpaka wamekupachika jina‼‼kwanini unauaibisha ufalme WA MUNGU kwanini Uongozwe na Roho ya tamaa ya kukopa halafu Umekopa Fanya kitu basi ndio hata kununua masufuria umeshindwa❗❗❗Acha kuyatukuza madeni unaibisha sifa ya watoto WA MUNGU. ❣💔Acha nikufugue hapo kwenye madeni utoke Bwana tena usirudi kujifugia NIRA ya madeni Unadaiwa na MUNGU mpaka na wanadamu 💗💓💓 🛑Haya zigatia uyatekeleze utayashida madeni🛑 🌳-1: Futa Hofu Hofu ukiifuta itakupa kujiamini kuyakabili madeni yako...

MAFUNDISHO YA WANANDOA

✍🏾✍🏾Ujumbe kwako✍🏾✍🏾 💝Mafundisho Ya MAHUSIANO💝💝WANANDOA👇🏾👇🏾 ✍🏾👇🏾Bwana Yesu Apewe Sifa Wapenzi KATIKA Kristo Ni Mimi mtumwa WA kristo  YESU mnazareth Pastor Richard Nikiwa na nanyi Katika Roho Mtakatifu Nimekuwa  wakili mwema Toka nilipo toka kwenu Huko Nimesimama Nikiihubiri injili katika nafasi aliyoniita nisimamie  sikutaka KUKAA  Bila kuwakumbusha Juu Ya njia zenu zilizo  kuwa zimepotezwa na Wanadamu. ✍🏾✍🏾Kwa Habari Ya kuoa/Kuolewa✍🏾✍🏾 Ndugu zangu Kama MTU Anaona Hawezi  kuishi peke Yake ni vyema aolewe/Owe 1⃣Kama Moyo wako umejeruhiwa kwa ajili Ya Mahusiano ni vyema MTU huyo Asimame na wokovu Ukiwa ndani yake hataumia tena Ole wake yule Wa kwenu ndugu Yenu mlioijua kweli wote bado mkaendelea kupotoshana mwanamke na mwanaume wote mtakuwa wakosaji ...