NJISI YA KUFANIKIWA WEWE KUPITIA SIFA YA MAJINA NA NYOTA
👉🏽 *NJISI YA MAJINA KUFANIKIWA KUAZIA HERUFI A-Z*
_Pastor Richard_
From MOROGORO
_WENYE HERUFI A_
1:Anashauriwa Asimamie katika Msimamo wake Asiyumbishwe
2;Ajiamini kwa kila jambo Afanyalo
3!Awe MTU WA IBADA NA Ushirika Na MUNGU
4;AJIREKEBISHE SIFA Zisizo faa kama Kiburi ugomvi nk aache.
5;Ajichanganye na wengine asijitenge tenge
👉🏽 _WENYE HERUFI B_
1; Ajiepushe na makundi marafiki
2; ASIMAME Katika sifa zake asifate mkumbo
3;Awe mtetezi kwa waliodhaifu
4; Asimame Na MUNGU asimuache
5; Abadilishe Sifa zisizofaa ajirekebishe
👉🏽 _WENYE HERUFI C_
1;Huyu Anashauriwa Tabia ya kubadilika Badilika Waache.
Wasimame na malengo yao
2;Wasivunjike Moyo wawe jasiri
3;Wamuweke MUNGU mbele waache kubabaika Mara wanarudi nyuma Mara wanasimama
4; Waheshimu Ndoto zao
👉🏽 _WENYE HERUFI D_
1; Wanashauriwa waendelee na msimamo yao Kupenda Hali.
Waepuke Ujeuri wawe watu wenye kujishusha pale watakapo Maendeleo
2: Wasimame na Biashara Tu Na Kazi ili wafanikiwe
3: Wanashauriwa kujenga Biashara na kufanya maendeleo kwa Kushikiana na wenye herufi D
4;Wasimame na Kumuweka mbele MUNGU sana
👉🏽 _WENYE HERUFI E_
1:Hawa ni watu ambao siku zote huonekana kudharauliwa kwenye familia na kusemwa vibaya.
Lakini Huwa Wamebeba Mafanikio na Baadae huwa tengemezi
2;Hutakiwa wasimame wao kama wao ili wafanikiwe
Hawatakiwi wamtengemee MTU nje na mmewe,/mkewe na Herufi zao waendane
3;Wajitoe Kwa MUNGU Na Wasimame na MUNGU
4;Waache Tabia za kutokuwa Na Msimamo katika maswala Ya MUNGU wasiwe watu wakuhama hama/Kwenda mbele wanarudi nyuma
Wajiamini kwa kumanisha kusimama na MUNGU
👉🏽 _WENYE HERUFI F_
1;Hawa wanatakiwa wamjue MUNGU kwa kumanisha
2;Waache uzito wakuyalaza Malengo Yao Wawe wenye Maamuzi sio kila siku kesho kesho au nitafanya hufanyi kwa wakati kubadilike
3;Washikiane kimaendeleo na Watu wenye Herufi M E B R S J na P
4! Wajitoe na kumtumikia Mungu siku zote
👉🏽 _WENYE HERUFI G_
1;Wamtumikie MUNGU tu
2;Wajitoe miili Yao kwa Mungu Tu
3:Wawe mistari ya mbele kwenye Kumtolea MUNGU na kumuweka mbele
4;Hawarusiwi kujiweka nyuma kwenye Maswala Ya MUNGU au kurudiwarudiwa
👉🏽 _WENYE HERUFI H_
1;Hawa waache kuwa wanaishia kupanga mikakati ya maendeleo harafu wanakuwa wavivu kufanyia kazi.
2;Wasimame na Biashara na miladi tu wajishughulishe mwenyewe
Waache Kupenda kutumikiwa mbali wajitume Hasa
3;Wasimame na MUNGU Tu
4;Wathubutu w anaweza wasipende kwenda imladi tu
5;Wawe namba moja kwa Mungu
👉🏽 _WENYE HERUFI I_
1:Hawa Nawashauri visheria sheria vyao waache
Tabia ya uzinzi muache
2!Hawa muolewe/Au muoe ndio Mtafanikiwa
3;Msimame na MUNGU tu
4! Mbadilike katika Tabia zinazoenda Tofauti
Kuishi kwa kutegemea ndugu Rafiki mbali Msimame nyie
👉🏽 WENYE HERUFI J
1;Waache kuwa Tamaa na Kujikatia Tamaa
2; Jiaminini NA kumuweka mbele Mungu Tu
4;Muepuke Yale yanayowafanya muonekana kama mmeshindwa kimaisha
5;Jitoeni na Kuwa mfano kumtumikia Mungu au Jamii
👉🏽 _WENYE HERUFI K_
1:Hawa wanashauriwa kujiingiza kwenye uongozi
2;Wanashauriwa Jeuri zao na Tabia zao zigine zisizofaa waziache
3!Wasimame na Mungu na wajitume wao kama wao kutafuta wasirusu msimamo wao ukaingiliwa
4;Waendelee Kuwa na msimamo kwa Yale yawapotoshayo.
👉🏽 _WENYE HERUFI L_
1;Hawa watafanikiwa kwa kujiajili wenyewe sio kuajiliwa
2;Wawe waaminifu kwa Mungu katika kujitoa
3;Misimamo yao ya kuwa kila wanachofikiri wanataka kiende hivyo wasijaribu kuingiza tabia hizo kwenye ndoa
4;Wajirekebishe tabia zao na waendelee kuwa na mipango yao ya kimaisha kufanikiwa kama wawazavyo kila siku nakuumiza kichwa.
👉🏽 _WENYE HERUFI M_
1:Wanatakiwa WA jishughulishe chochote kwa Juhudi sio KUKAA Tu
2;Waendelee Kujiamini
3:Waache kudakiadakia vitu
4!Wasimame na MUNGU hasa wasibipu
5;Waache Utomasotomaso kwenye maswala ya MUNGU waamini kuwa anaweza.
6!Wamtumikie Mungu
👉🏽 _WENYE HERUFI N_
1:Wajiajili kwa kutumia karama zao za ubunifu.
2;Wajihadhari na Mahusiano watalizwa sana endapo hawatasimama imara na MUNGU
3;Wazizue hisia zao za Kupenda penda mpaka wamejiridhisha
4;Wamanishe kujitoa kupamba kutengeneza kanisani na kujitoa
5;Wasijikalie pasipo kufanya kazi
👉🏽 _WENYE HERUFI O_
1:Anashauriwa Asome sana asichezee shule
2;Ajitoe kitumikia jamii
3:Aendelee hivyo hivyo kuwa na subira asikurupuke
4;Amutangulize MUNGU mbele kila jambo
👉🏽 _WENYE HERUFI P_
1; Wanatakiwa Wamtumikie MUNGU au Jamii
2;Wajichanganye na watu watu wasikae peke yao
3:Watumie watu kufika watakapo
4;Wajitoe sana kwa Mungu
👉🏽WENYE HERUFI Q
1:Anashauriwa Jina alibadilishe Asiendelee na jina hili kwanini ni chanzo cha yeye Kukosa uwezo WA kutatua vitu au kufanya jambo linaloonesha karama licha ya kuwa huwa na kitu.
2;Kisha Asimame Na MUNGU Tu
👉🏽 _WENYE HERUFI R_
1;Wanashauriwa wasimame NA kujitoa kwa Mungu
2;Huwa Herufi wenye majina Haya wasipomjua Maisha yao hujaa sifa chafu na kutokuwa na dira ya kimaisha.
3;Wanatakiwa wamanishe kusimama na MUNGU tu
4;Wanatakiwa wajichanganye na kumtanguliza MUNGU
5;Wajishughulishe chochote
👉🏽 _HERUFI S_
1;Hawa wanashauriwa wajiajili au Kufanya Biashara
2:Wajitoe kusaidia jamii kuelimishana na kuongoza.
3;Wazishinde Hasira Zao
4!Wasimame na kumanisha kwa Mungu
5;Wajitoe na kuwa waaminifu kwenye maswala ya Kiungu
👉🏽WENYE HERUFI T
1; Hawa mnashauriwa majina yenye Herufi T huchukua muda sana KUFANIKIWA hutumia nguvu sana japo KUFANIKIWA lakini kwa shida mnashauriwa mbadili Majina Yenu mnaenda kwa mch.
👉🏽👉🏽👉 *By
RICHARD*
Holy Spirit Ministry Tanzania
Makao Makuu
Maoni
Chapisha Maoni