MWANAMAOMBI ZIGATIA HAYA ILI UJIBIWE

✍🏾✍🏾Mambo Yakuvaa moyoni  KWA  Mwanamaombi ili Apambane mapambano yenye kuleta majibu✍🏾🌴👇🏾

Mwanamaombi inatakiwa zigatia haya ndio dirii na siraha yako yakivita.

1;Usizini

2!Samehe  na achilia

3;Soma neno LA MUNGU

4!Ita damu ya Yesu

5!Omba toba naombea toba waliokukosea

6!Mkaribishe Roho Mtakatifu

7! Upende  watu wote bila kuagalia yukoje

8!Mbebe asiyejiweza kuomba

9!Inua Huduma na kuipanda nduniani na kuomba watenda kazi waaminifu

10!Linda madhabahu ya Pale MUNGU alipokuweka

11; Mheshimu MUNGU na Baba yako mlezi hapo

Msikilize na kutii kufata Aelekezavyo Yeye

12!Usiwe MTU WA udhaifu

13; Usichoke au kurudi  nyuma ujiugapo na kikundi hiki

14; Tukeshe na Kuomba kila siku

Amri zinazotumika

1:Tuma jeshi LA malaika WA vita likiongozwa na mikaeli

Natuma natuma malaika WA vita wakashike njia zote za wachawi nafunga njia zao midawa yao....endelea kadiri maneno yajavyo

2!Jiamini Na usiwe muoga

Tangaza kufunga kufungua kupanda  kug.oa

Nag.oa kila miugu  ya Tanzania Africa duniani napanda utawala WA Holy spirit ministry Tanzania

Napanda Tanzania Nag.oa Muiugu ya Baali  nampanda MUNGU wangu aliyejuu

Nafuta kila laana matambiko magonjwa kwa watoto WA Holy spirit ministry Tanzania

Endelea kufuta

Nafungulia Mahusiano yaliyovunjika nafungulia matumbo yasiyo na watoto

Namwinua juu Pastor Richard ukazidi kumuongoza kwa Roho Mtakatifu

Mjaze upako katika kinywa chake macho Yake pumzi Yake

Endelea Kadiri maneno yajavyo

Maneno mengine Roho Mtakatifu huyarusu tu

✍🏾✍🏾Kwa wageni kila siku SAA.7.8.9. Tunaamka kuingia vita vya kiroho mwisho Asubuhi.

Tunapoamka hutupia Mistari tunaosimamia au neno Amen

✍🏾✍🏾KARIBUNI🤝

Soma Hapa Tunaambiwa Tuagalie kuomba kwetu kusiwe wakati tunashida  tu Bali iwe kila siku Hakuna kitu kibaya uwe unaomba wakati tu WA mapito simama siku zote

Soma 👇🏾👇🏾👇🏾

Matthew 9:38

[38]Pray ye therefore the Lord of the harvest, that he will send forth labourers into his harvest.

Basi mwombeni Bwana wa mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno yake.

✍🏾✍🏾Mafundisho Ya Wanamaombi✍🏾✍🏾

✍🏾Pastor Richard

📞+255710889892

📞+255759861768

Tembelea www.mchungajirichardi.blogspot.com

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.