MISTARI YA UTOAJI AGANO JIPYA
- 2 Wakorintho 9:7 "
ππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎ
- Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu."
- Luka 6:38 "
"Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu."
ππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎ
- Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa; kipimo cha kujaa na kushindiliwa, na kusukwasukwa, hata kumwagika, ndicho watu watakachowapa kifuani mwenu."
- Mithali 3:9-10 "
- ππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎ
"Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa; kipimo cha kujaa na kushindiliwa, na kusukwasukwa, hata kumwagika, ndicho watu watakachowapa kifuani mwenu."
- Mheshimu Bwana kwa mali yako, na kwa malimbuko ya mazao yako yote..."
"Mheshimu Bwana kwa mali yako, na kwa malimbuko ya mazao yako yote..."
MANENO YA HEKIMA YA PASTOR RICHARD.
1:Hakuna Tatizo lilowahi kushindwa na Mtu mtoaji.
2:Tunabarikiwa Kwa Sababu Tulitoa Na Hatubarikiwi Kwa Sababu Hatukutoa.
3:Hakuna Mtu Alishawahi Kuwa masikini Katika Utoaji.
4;Ukitoa Unazifungua mbigu zilizofunga Baraka Zako.
5;Ni Bora Kutoa Kuliko kutembea na Laana ya kuzuia kilicho cha Mungu.
USHAURI WANAGROUP
Tuchukue Kadi hii Tuichape Kila Mwezi Tuwe Tuna Tiki Tunapotuma Zaka Katika Madhabahu hii kwa walio Watoto Wa Kiroho Wa Pastor Richard
Maoni
Chapisha Maoni