SOMO: Maombi Ya kukomboa familia
SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI WA FAMILIA ZETU Kila mmoja aombee familia
Karibu katika maombi Ya Ukombozi wa familia Haya ni maombi yanayongusa maeneo makubwa matatu ukoo familia Taifa unapoingia kukomboa Jipange uwe na Sadaka kuanzia 50000 kima cha chini kama unakuwa hauna usiuchokoze huu ufalme.
Zingatia Haya Kabla hujaomba
________^%%%%÷÷÷%%______
๐Tafadhali kama hujaelewa usiombe unipigie Simu ueleweshwe
๐Unatakiwa tenga muda tulivu uombe
๐Maombi haya yaitaji utilizing Sana
๐Utakuwa na Sadaka yako Kwa Uzito wa ukombozi wa familia yako
TUYAJUE HAYA KWANZA KABLA YA KUANZA KUOMBA
Familia ni nini? NI KUNDI Linalomjumuisha mama baba na watoto.
HAKI HUOKOA FAMILIA
Mwanzo 7:1 '' BWANA akamwambia Nuhu, Ingia wewe na JAMAA yako yote katika safina; kwa maana nimekuona wewe u mwenye haki mbele zangu katika kizazi hiki.''
Hiki Kitabu kinaongelea mzazi aliyepata haki mbele za Bwana Kwa Kukaa Vizuri na Kumtengemea Mungu na Mungu alipotaka Kuagamiza Kizazi hicho Alimuona huyu Baba na familia yake hawakuagamia.
AKIPATIKANA MUOMBEZI KWENYE FAMILIA ZETU ZITAPONYWA NA MUNGU.
๐๐๐๐Soma na huu
Ezekieli 22:30 '' Nami nikatafuta mtu miongoni mwao, atakayelitengeneza boma, na kusimama mbele zangu mahali palipobomoka, kwa ajili ya nchi, nisije nikaiharibu, lakini sikuona mtu
Mungu anatafuta mtu atakayesimama kwa ajili ya familia katika kila boma ambaye ataokoka na kumkiri Bwana Kuwa mwokozi wa maisha yake. Yeye ndiye atakuwa mtetezi wa kuiombea familia Kwa maovu inayotenda na Kumkosea Mungu isamehewe. Unapaswa ujue unatakiwa Usimame kwa ajili ya ndugu zako wajomba zako kaka zako dada zako nk.
MAMBO AMBAYO WAZAZI WETU WALITENDA YANATUATHIRI HADI SISI WATOTO TUNAONEKANA NA HATIA MBELE ZA MUNGU.
HAYA NDIYO MAKOSA YATAKAYOTUFANYA TUKOMBOE FAMILIA ZETU
1:KUCHUKUA TABIA ZA WAZAZI WETU NA KURITHI TABIA MBAYA ZOTE (Maombolezo;5:7B "Na sisi tumeyachukua maovu yao.
Zipo tabia ambazo wazazi wetu walikuwa nazo Sisi nasi Tumebemba hizo tabia
Wewe mwenyewe ukikaa unajiona matendo yako na mienendo yako na ya wazazi wako inafanana kumbe basi komboa.
๐๐๐๐
Maombolezo 5:7-8 ''Baba zetu walitenda dhambi hata hawako; Na sisi tumeyachukua maovu yao. Watumwa wanatutawala; Hakuna mtu wa kutuokoa na mikono yao.''
2:WAZAZI WETU WALITUZAA KWENYE HATIA YA KUZINI.
Dhibitisha na hili andiko
Zaburi 51:5 '' Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu; Mama yangu alinichukua mimba hatiani.''
Mtoto yoyote yule aliyezaliwa kwenye uzinzi huyo mtoto ni mtoto wa hatia Ambaye hata damu yake itakuwa inamsumbua kutembea na kukaa ndani ya hatia ya kuzini. Ndiyo unaweza kuta mtoto alizaliwa kwa kuzini nayeye anakuja kuzaa kwenye kuzini ile hatia ya hilo Kosa inaendelea mpaka aje mtu afumbue ufahau ujue unatembea na hatia akuelekeze namna ya kujifungua siyo leo.
Ni mbaya mno kuchukua mimba katika Hali ya kuzini na ukazaa kwenye kuzini dhambi moja inayokuja kumtesa mwanao kwa baadae.
Watu wote Waliozaliwa kwenye uzinzi wazazi wao hawakufunga ndoa ya mitaala au serikalini au kanisani wakazaliwa basi ni wajibu kujikomboa.
3:HATIA YA TATU KWENDA KWA WAGANGA UPATE MTOTO KILE KITACHOZALIWA KITAKUWA NA HATIA KWA SABABU UMEMUONA MUNGU WAKO HAWEZI UKAAMINI MIUNGU..
Wazazi wote Kuweni makini mnapotafuta mtoto msiende kwa waganga mtakuja kuzaa watoto wenye hatia mbele za Mungu na hali hiyo watoto ndiyo itawatesa.
Kama ulipatikana Kwa Njia hii au Mama unajua mtoto ulimpata kwa njia hii unatakiwa uingie maombi kujikomboa.
4: HATIA YA NNE MIMBA KUSEMWA NA KUNENEWA MANENO MABAYA MZAZI ASIYAKANUSHE HAYO MANENO.
Kuna hatia zingine ulizipokea wakati mama yako akiwa na mimba yako maneno ya ndugu zako wakaanza Kumsema maneno mbaya wakiusema ujauzito wake
Hii ni hatia igine yale maneno kiumbe kilichomo ndani husikia nakutengeneza Kisasi kikubwa.
JINSI YA MTIRIRIKO WA KUKOMBOA FAMILIA. YASHIKE HAYA KABLA HUJAANZA KUOMBA
✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍
i)Maombi haya Tutaomba Siku 14 bila kufunga
ii) Tutakuwa na Sadaka Nzuri itakayoabatinishwa na maombi yetu na tutaitoa madhabahu hii ya moto wa Yesu kwa namba za kutuma sadaka.
iii) Tutampigia Simu Bishop Richard Baada Ya kutuma sadaka atuombee ulizi .
iv)Maombi haya Vita Kudai Haki zako.
V) Tenga muda wako usipishane na omba mfululizo
HATUA YA KWANZA ; Tutaomba
1:Toba kwa ajili ya familia
2:Toba kwa ajili ya ukoo
3:Toba kwa ajili ya kabila
4:Toba kwa ajili ya nchi(Taifa)
HATUA YA PILI : Tutaomba haya.
1;Kukomboa Lango la Familia
2:Kukomboa Lango la Ukoo
3:Kukomboa Lango la Kabila
4:Kukomboa Lango la Nchi (Taifa)
HATUA YA TATU; Tutaomba yafatayo.
1:Kuvunja Maangano ya kwenye familia
2:Kuvunja Maangano ya Ukoo
3:Kuvunja Maangano ya Kabila
4: Kuvunja Maangano ya Nchi.
HATUA YA NNE; Tutaomba yafayato.
1:Tutaombea Wazazi wetu.
Mama wadogo✍,mama wakubwa,✍shangazi ✍,wajomba✍,Baba wakubwa,✍Baba wadogo Nk
2.Tutaombea watoto wetu.
Watoto wetu, ✍watoto wa mama wadogo,✍ watoto wa mama mkubwa, ✍watoto wa Baba mkubwa,✍watoto washangazi,✍watoto wajomba nk
3:Tutaombea wokovu wao.
Wote ndugu zetu ambao hawajaokoka tutawaombea
4;Tutaomba Kuwatenga na Kila roho chafu roho za magonjwa roho za kurithi.
HATUA YA TANO; Tutaombea
1:MIJI YETU
Hapa tutaomba Tukitembea na ukiweza zunguka mji wako unapoomba kukomboa.
2:KAZI ZETU
Tutaombea Kazi zetu na ukiweza itaje na utaje unavyotaka iwe.
3:TUTAOMBEA ENEO LOTE LA KAZINI KWETU.
Omba na hakikisha unalitaja eneo lako la kazi na nafasi yako kazini na viwanja vyote vya kazini.
HATUA YA SITA;Tutaomba yafatayo;
1:Tuyafunika maombi yetu wote tuliowaombea kwa Damu Ya Tutanyunyiza damu ya Yesu maeneo yote tuliyoyakomboa.
2:Tutamshukuru Mungu kwa Kunyanyua mikono Juu na Kupiga makofi.
Tutasoma mistari ya biblia
Soma hii mistari๐๐๐๐
13). Zaburi 133: 1:
Tazama, ni nzuri na ya kupendeza jinsi gani ndugu kuishi pamoja katika umoja!
14). Waefeso 6: 4:
Nanyi akina baba, msiwakasirishe watoto wako, bali walekeni katika malezi na ushauri wa Bwana.
15). Mithali 22:6:
Kumfundisha mtoto kwa njia ambayo anapaswa kwenda: na wakati akiwa mzee, hatatoka.
HATUA YA SABA;Tutaombea Sadaka zetu.
1:Ombea hiyo sadaka
2:Ongea maneno unataka ikaseme nini kwa Bwana.
3:Siku Ya 14 Utaituma Kwa
M-PESA 0759861768
Tigo Pesa 0710889892
Weka crdb akaunt 0152361572400
Jina la Akaunt: RICHARD JULIUS KUSHOKA
NITATOA MUONGOZO WA NAMNA YA KUTUBU UTAKAVYOOMBA KWIGINE ROHO MTAKATIFU ATAKAKUPA MANENO OMBA.
๐Zingatia kupiga magoti na kuomba kwa kugua moyoni kwa machozi Shuka chini kwa hisia kali za maumivu ya kumkosea Mungu
1:TOBA KWA AJILI YA FAMILIA
Eeeh Bwana Yesu Nakuja mbele zako mimi mwanao Richard Ninaibemba familia yangu
2:TOBA KWA AJILI YA UKOO
Ninatubu pia kwa upande wa ukoo wangu maovu yao yote na yote waliokutenda yaliyokuchukiza mbele zako kwa sababu nimejua ya kuwa Yezebeli alipewa watu wa kila ukoo.Ninatubu kwa ajili ya waasisi wa ukoo wangu,viongozi wate waliopita na waliopo katika ukoo wangu,maovu yao,dhambi na machukizo waliyokutendea,maagano na makafara yote waliyofanya juu ya ukoo wetu na vizazi vyake.Naomba rehema zako na msamaha kwa ajili ya mambo yote tuliyoyatenda kama ukoo,kwa upande wa babu mzaa baba,bibi mzaa baba,babu mzaa mama na bibi mzaa mama yagu na koo zote tuliyofungamana kwa namna mbalimbali.
3:TOBA KWA AJILI YA KABILA LAKO
Soma huu mstari kabla ya kuanza kuomba
Hesabu 36:12
Waliolewa katika jamaa za ukoo wa Manase mwana wa Yosefu, na urithi wao ukabaki katika kabila la baba yao.
Ninasimama pia na damu ya Yesu kwa ajili ya kabila langu. Ninawaleta wote kwako nakuomba Bwana utusamehe maovu na dhambi ambazo waasisi na wahenga wa kale waliyoyatenda,ikiwa ni pamoja na maagano yote yaliyofanyika ,yaliyotuunganisha na ulimwaengu wa giza kwa njia mbalimbali ikiwemo mila na desturi na kila uchafu tulioufanya kupitia machifu na viongozi mbalimbali,ambazo katika hayo sisi kama familia tumejikuta tukiunganishwa na kupalizwa japo sisi hatukutenda hayo sawa na kutoka 20:1-5
4:TOBA KWA AJILI YA TAIFA.
Eeh Bwana Yesu natubu kwa ajili ya nchi yangu kila maangano na kafara zinazotolewa na nchi yangu na kila machukizo yaliyofanywa na viongozi wangu wakauganisha kila mwananchi nikiwemo namimi Bwana kwa kuwa ni mwananchi wa Taifa la Tanzanua naomba uwasamehe Bwana viongozi wangu raisi wangu Baraka lake na Safu yake nzima kwa hatia walizozibemba iwe ni kwa siri au kwa uwazi komboa taifa langu komboa uongozi wake na baraza lake katika jina la Yesu.Amen
Rudia ×3
SHUKURANI
Nyosha mikono Juu Kisha Piga makofi Anza Kumshukuru Mungu Mwambie Ansate umekomboa familia yangu Ukoo wangu Nashukuru Nashukuru Huku ukipiga makofi.
OmBEA HIVI SADAKA YAKO
Utomba hivi.
Baba Nashukuru kupitia kuniweka kwenye madhabahu hii unazidi kunifundisha mengi Sasa umenifundisha kukomboa familia yangu Nimeomba maombi haya nimemaliza Nakutolea Sadaka Yangu Kupitia Madhabahu Ya Moto Wa Yesu Bwana ipokee ukatende nakushughulika na majibu ya maombi yangu katika Jina la Yesu.Amen
Tuma kwa
M-PESA 0759861768
TIGO PESA 0710889892
Halo Pesa 0628355985
Jina Richard Julius Kushoka
CRDB BANK WEKA KWA AKAUNT
0152361572400
JINA: RICHARD JULIUS KUSHOKA
Maoni
Chapisha Maoni