SOMO; MAOMBI YA KUJIONDOA KWENYE NIRA ZA VIFUNGO
SOMO;MAOMBI YA KUJIONDOA KWENYE NIRA ZA VIFUNGO ULIVYOFUGAMANISHWA NA WATU.
Naitwa Pastor Richard ninayekuandalia SOMO hili kwa muongozo wa Roho Mtakatifu. Nipo Morogoro Veta Dakawa.
ππππππ
NIRA NI NINI?
Nira ni kiuganishi au ubao au chuma inayotumiwa kuvishwa ng,ombe wakati mkulima analima ili kumsaindia Wale ng,ombe kutembea katika Njia moja.
=============================
Soma hapaππ
Isaya 58:9
[9]Ndipo utaita, na BWANA ataitika; utalia, naye atasema, Mimi hapa. Kama ukiiondoa nira; isiwepo kati yako, wala kunyosha kidole, wala kunena maovu;
Inaonyesha Kumbe nira nikifungo kinachokuwa mtu kinamuongoza atamke maneno maovu yanayomfanya mtu ajibembeshe mzingo kupitia maneno ya kinywa chake kama kutukana kujifunga na kunug,unika.
ASILI YA NIRA
Nira asili yake imetokana na Neno La Kilatini I ugumu lenye maana kiuganishi au Fimbo ya kuvikia ng,ombe wanapolima.
KIROHO NIRA NI KIFUNGO;
Kifungo ni kitu chochote kinachomnyima uhuru mtu mwingine Kifungo mara nyigi huwa kinakuwa cha maneno
Isaya 10:27
[27]Tena itakuwa katika siku hiyo mzigo wake utaondoka begani mwako, na nira yake shingoni mwako, nayo nira itaharibiwa, kwa sababu ya kutiwa mafuta.
Mzingo wowote ulioubemba huitwa Nira Haijarishi umebemba mzingo wa maombi kuombea watu na matatizo yao au watoto au wajawazinto au wachungaji huo huitwa mzingo wa kuombea wegine.
Wapo waliobemba mizingo ya magonjwa laana nk huitwa mzingo.
Kila mzingo ukiona umekuchosha unatakiwa uutuwe sasa utautuwa wapi
.Yesu Anatuambia Tutuwe kwake Kisha Tubembe Nira yake ya Imani aliyonayo tubadailike
SOMA HII MISTARI
πππππ
Mathayo 11:28-30
[28]Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
[29]Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
[30]kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
Ili Tupate Pumziko na Amani Mlele Tusiteseke Tutuwe mìzingo yetu kwa
MAMBO HAYA TUYAFANYE ILI KUJIONDOA NA NIRA ZA VIFUNGO NA KUBEMBA NIRA LAINI YA YESU KRISTO.
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
1.Kumpokea Yesu Kristo kuwa mwokozi wetu.
2: Kujifunza Kuomba na Kupenda Kuomba
3.Kujifunza Neno la Mungu Kulipenda Neno.
4;Kuruhusu Roho Mtakatifu na mapenzi ya Mungu kwetu.
5;Tuwe Watu Wa Kutoa (Watoaji Kwa Ajili Bwana)Yohana;3;16
NAMNA TUKAVYOOMBA.
Nakupa mwelekeo wa vitu vya kushughulika
1:Anza kushughulika na roho inayokupa masononeko au manug,uniko , kuogopa, nakukata tamaa
πππππSoma huu mstari wakusimamia
2 Timotheo 1:7
[7]Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi.
Utaanza hivi kwa Usiyejua Kuomba.
Baba Yangu Najua unaniwazia mema na yaliyo mazuri lakini mimi nimekuwa nikiwaza mabaya na Kunug,unika mbele zako nimekuwa na nira za uongo nira za kukata tamaa nira za kurundi nyuma kiima nira za kutokuomba nira za hofu nira zote zinazotenda kazi yangu zilizouganishwa na ufalme wa ngiza niamuru viondoke ndani yangu navaa nira ya neno lako Kristo Navaa nira ya Imani yako Navaa nira ya ushindi wako katika jina la Yesu. AMEN
RUDIA ×1
Endelea kuomba
Omba kila nira zinazokuja akilini mwako za kukatisha tamaa au kunug,unika ,kulaumu nk omba ziondoe.
2:Kujiondoa Kwenye Marafiki Wasiofaa Wanaopenda mambo ya Dunia na Tabia za Kidunia.
Mstari tutakaosimamia
πππππ
^^^^^::::::::::::::::::::::::::::::
2 Wakorintho 6:14
[14]Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
Hii inatuonesha kuna roho zingine humfunga mtu kupitia na rafiki aliye naye Ni mtu aliyengizani anaamini mambo ya ngiza mazungumzo yenu yanakuwa ya kupeana vishawishi na kupotezana katika kusundi la Mungu hiyo ni mbaya Paulo anasema.
Kuwa makini Sana na marafiki Tafuta marafiki wanaompenda Mungu wenye hofu ya Mungu utembee nao.
OMBA HIVI
Bwana naomba uniondolee marafiki wasiofaa niliokuwa nimejifunga nao kwa kushirikiana vitu kwa kuzini nao kwa kupeana nguo Naomba Kama hawafai nitembee nao waondoe niletee watu wenye hofu nawewe wanakujua na kukupenda wewe Bwana Katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×2
Endelea Kuwaondoa wapenzi uliojifuga nira nao wanaume au wanawake wafanyakazi hizo nira zikate tembea tembea ukiomba..
3:Maombi Ya Kuombea Kila Nguvu za Kichawi na Waganga.
Hesabu 23:23 Simamia mstari huu.
Nakupa mwelekeo wa kuomba halafu utaendelea kuomba
Omba hivi;
Ninavunja kila uchawi kila nira za ngiza zilizofugwa kwenye biashara zangu Kazi yangu mahusiano yangu huduma yangu katika Jina la Yesu.Amen
^^^^^""""""::::,,,,,,,,,,,..""""""'"""',,,,,,,....
Nabomoa kila kambi za kichawi zilizonjega kwenye afya yangu maisha yangu bomoka bomoka bomoka bomoka kila kambi ya kichawi ibomoke nimesema katika Jina la Yesu.Amen
Rudia×3
"""""""^^^^^^^""::"............."""""""""",,,,,,,,,,,,,,,
.Napitisha Damu ya Yesu kuanzia Kwenye Nyayo zangu kwenye mikono yangu kila eneo la mfupa wangu ndani ya mwili napitisha Nguvu za Jina la Yesu Moto moto moto upite nakausha virusi vimelea seli za magonjwa mwilini mwangu naapisha nira zikatike katike Sasa nafyeka nafyeka katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×2
.^^^^^^^,,,,,,,,,,,:::::::::::..........'xxxxxxx
Nyayo zangu ni moto akili yangu moto mawazo yangu moto kila eneo ndani ya mwili wangu ni motooo wa Yesu Naamru moto uongezeke uchome kila kitu ndani katika Jina la Yesu.Amen
Rudia ×3
Endelea Kuomba kujifungua maeneo mbalimbali
UKIMALIZA SHUKURU
.unasema Ansate Bwana Umetenda umeniponya nashukuru kwa kujibu katika Jina la Yesu.Amen
Maombi haya Hayana Sadaka Usitoe Sadaka
Kama hujaelewa uliza inbox nieleze
Sasa Umeshajifungua hebu tembea moyo wa kupenda maombi na kujifunza uvumilivu na kutokuyumbishwa kiroho tulia uwe na msimamo wa kuomba na kushirikisha watu unaowaamini tu.
Maoni
Chapisha Maoni