somo:maombi ya kujikomboa na roho za ukoo
SOMO:JINSI YA KUOMBA KUJIKOMBOA KWENYE ROHO ZA MIZIMU NA UOMBAJI WAKE ππ£️π§
Omba kama ulivyoelekezwa
Karibuni Katika Maombi Haya na maelelezo yakuomba
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta dakawa
Simu Piga Jioni Saa 12:00 Jioni Kwa Msaada Zaidi na maelekezo
WhatsApp inbox+255759861768
MSTARI WA KUSIMAMIA AU NENO LA KUDAI HAKI YAKO
Wagalatia : 6:5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe
UFAFANUZI WA MAOMBI HAYA HASA NENOππΏMIZIMU
Mizimu Ni Nini,,?Ni Roho za Ukoo Inayoishi na mtu ndani Yake kwa uhalali ya kudai ukoo wake inaanza Kupata nguvu Kutoka kizazi Cha nne ukihesabu Kutoka ulipo
Mfano :Richard Ni mimi
ππΏJulius Ni Baba
ππΏLinda Ni Baby
ππΏKushoka Ni Ukoo wangu.
▪︎Kushoka ▪︎Ndiyo ukoo aliyeshika ukoo
Huyu Jinsi Alivyokuwa yeye huweza kumwigia kila mwanaukoo wake nakudai aishi nakuhagaika Kama hii roho itakavyo Huyu Kama alikuwa chifu lazima kwenu watapatikana viongozi Kama alikuwa mganga lazima kwenu watapatikana waganga Kama kwenu huwa mnakufa kwa ugonjwa Fulani itafata ukoo.Maisha Yoyote yanayofata historia ya ukoo ujue Ni mizimu pia kuota mama yako au Baba yako au Babu na Bibi ujue Unateswa na Mizimu
Unaweza kuona familia nzima mnakufa na magonjwa ya kufanana au kuishi maisha yenye historia moja
TUNAPOINGIA KUJIKOMBOA UNATAKIWA USOME KWANZA MAELEKEZO
Rudia Rudia na Uelewe Usiombe Bila Kuzingatia Maelekezo Ni heri ukaacha.
MAELEKEZO YA KUZIGATIA KABLA HUJAANZA KUOMBA
1:Jiandae mwenyewe na Uwe Tayari
mwenyewe na Tena Muda wako
2:Usiingie Kuomba Kabla hujanipigia nikakuombea Kwanza Namba HIZI Jioni SAA 12:00 Namba +255759861768
3:Utaomba siku 7 Mpaka Siku 14 Mfulululizo bila kuruka Muda ule ule na usiwe umechokachoka uwe na utulivu
4:Utaomba huku Unatembea mwili na mikono ikionesha kitendo Cha ujasiri na ushujaa
5:Utatumia MSTARI wagalatia utasema Mimi mizingo Yenu sibebi Unataja matatizo yanayotokana Ukoo
6:Hakikisha maneno unayotoa kwa ujasiri na ushujaa yasikike
7:Utaandaa Sadaka nzuri utakayoitoa siku unapokuja kumaliza. Mizimu hupata nguvu kupitia matabiko na sadaka ambazo hutolewa na wanaukoo wanayoendelea kuitabikia kwa hiyo nawewe unapojiondoa andaa sadaka yako.
8:Utafata mtiririko Kuanzia walipo Kufunga Kama chini hapa ninavyoelekeza
HATUA HIZI FATA UNAPOJIKOMBOA KWENYE ROHO ZA UKOO
1:LANGO LA UKOO(Uwazi wa kuingia mateso KUPITIA Ukoo)
πOMBA HIVI π
Kila Lango La Ukoo wa Kushoka lilofunguliwa Kwangu liingie katika maisha Yangu liingize umasikini Liingize Magonjwa Linifanye Mimi niwe mtu wa Kuteseka na Kuhagaika maisha haya siyataki Nafungulia Lango La Baraka Nafungulia Lango la Afya Nafungulia Lango la Uzao Nafungulia Lango la ndoa Nafunga Lango la Ukoo Kwa Jinaaa la Yesu Kwa Jina la Yesu π Amen π
(Rudia Mara 4 kuomba)
WARIZI WA LANGO LA UKOO (Roho Zinazosimamia mateso yanaingia)
πππππOMBA HIVI πππππππ
Kila Ulinzi uliosimama Kuhakikisha Mimi nitaendelea kufatiliwa au Kuishi maisha haya ya Kuteseka na magonjwa yanayomtesa mama yangu yanayomtesa shangazi yangu mjomba Mimi nasema Naufyeka huo ulizi uliosimama Kwenye Lango na ufyeka Naufyeka Naufyeka Kwa Jina la Yesu Hakuna ulizi utakaosimama Kurudisha Lango la mateso Katika ulimwengu wa roho Mimi nimekombolewa nalindwa na Yesu na Lango langu Ni la Wokovu kwa jina la Yesu ππ Amen π
(Rudia Mara 2)
π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦π₯¦
2: MADHABAHU YA UKOO(MAHUSIANO YA UKOO)
πOMBA HIVIπ
Kila Laana inayoongea ndani Yangu kwa uhalali wa Madhabahu ya ukoo na ufatiliwaji wa mateso KUPITIA mahusiano na Ukoo wangu hizo roho zilizojenga usungu nazivunja Kuanzia Leo najenga mahusiano na Yesu Wangu aliyeketi mahali PA juu Nataka niitangazie ile Madhabahu ya magonjwa ile Madhabahu ya utumwa ile Madhabahu ya mikosi iniachie iniachie iniachie iniachie iniachie Katika jina la Yesu π Amen π
(Rudia Mara 3)
WARIZI WA MADHABAHU (Roho
Zinazosimamia Mahusiano ya ukoo)
πππππOMBA HIVI π
π
π
π
π
π
Kila Nguvu ya ulizi wa Madhabahu za Ukoo Naiamuru iniachie kwa amri ya Jina la Yesu Naifyeka Naifyeka Naifyeka Naifyeka Nasema Ulizi uliokuwa unasimamia mahusiano na uhalali kuwa Mimi niishi Kama ukoo wangu au mama yangu au Baba Yangu au Babu Yangu Nasema Biblia inasema Kila mtu atachukua furushi lake kwa jina la Yesu Ulizi uliowekwa kuumba mahusiano Naumbomoa kwa jina la Yesu π Amen π
(Rudia Mara 4)
π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³
3: AGANO LA UKOO (Mapatano na Ukoo yaliyofanyika toka nyuma)
ππππOMBA HIVI π₯π₯π₯π₯
Agano la Ukoo na Patano la Ukoo Familia Yangu Uzao wangu watoto wangu Kuanzia Leo hayo Mapatano yaliyofanywa na Ukoo wangu wa Kushoka kuipatanisha nafsi yangu na Ukoo Nasema Leo hii Nasimama Katika Kitabu Cha Zaburi:107:20 Nalituma Neno likavunje Hilo Patano sababu SI halali kwanza mliniuga Mimi bila Kuwepo na sijui pili Kama Ni wazazi Wangu walikabidhi nakuwatambikia au kuwafata Mimi Nimeamua Kumfata Yesu Sitaki jina langu mlijue tena Hata watoto wangu Joyce na Lameck muwajue Mimi mzazi wao Nakataa Patano navunja Patano lenu Kwa Jina la Yesu π Amen π
Rudia kuomba mara 7
ππππππππππππππ
WARIZI WA AGANO(Roho Zinazosimamia Patano la Ukoo)
ππππOMBA HIVI πππππ
Nasimama kuzilaani Kazi zote za ulizi zilizoamriwa na ukoo usimamie ulizi kwa Kunitesa au Kuishi na magonjwa Yasiyoisha au maisha ya kuombaomba Mimi naishi maisha ya historia Ambayo Ukoo wangu Unaishi Nasema maisha Yangu Nataka yatengeneze Historia mpya kwenye Ukoo wangu Naamuru ulizi wote ufutike kabisa Mimi sitarindwa au Kutii Kuabudu mizimu Maisha Yangu yapo huru kwa Neema ya Ukombozi nilioupata kwa Yesu Katika Jina La Yesu π Amen π
Rudia Mara 4
HITIMISHO
TUMEFIKA MWISHO WA KUJIKOMBOA NA UPO HURU SASA USIMUACHE YESU NA KAMA ULIKUWA HUENDI KANISANI TAFUTA KANISA LA KILOKOLE NENDA PALE UTAZIDI KULELEWA NA KUJIFUNZA MENGI KAMA Hujaokoka Ni Vyema ukaokoka Sasa Maana umetangaza Vita kuisaliti mizimu Yenu.Kwa msaada piga kwa Namba+255759861768
USHAURI WA KUZINGATIA.
Unatakiwa uokoke na uamue kusimama na Huyu Yesu Usimuache Maana roho hizi usiposimama vyema na Mungu mashambulizi hurudi zikikupata tena huwa zinakuja Mara mbili yake. Ukiamua amua kutembea na Yesu hazitakuweza Tena.
OMBEA SADAKA YAKO
Kupitia hii Sadaka ya maombi ya ukombozi ya roho za ukoo ikaongee na kunena kwa habari ya ukombozi wa ukoo katika jina la Yesu najitenga mbali na roho za ukoo mafatilizi yote yaliyouganishwa kupitia Babu zangu Bibi zangu mababa zangu kila nguvu ya patano ambalo waliliweka kuuganisha familia yote nikiwemo na mimi wakaabatanisha Jina la Baba na mama na uzao wao wote mimi najifungua kuanzia Leo nipo huru katika Jina la Yesu.Amen.
Kisha Tuma Sadaka Yako
M-PESA 0759861768
TIGO PESA 0710889892
Weka CRDB BANK Akaunt 0152361572400
Jina litatokea: RICHARD JULIUS KUSHOKA
Shirikisha maombi haya wanaoteswa na roho za ukoo
Maoni
Chapisha Maoni