USHUHUDA WA NDOA

Habari watumishi
Namtukuza Mungu Kupitia Madhabahu Hii Ya Moto Wa Yesu Namuona Mungu Akitenda Toka Nimetoka Morogoro Mambo mengi yamefunguka Kupitia Masomo niliyoyasoma huko yamenifungua Sana Sana maana sikuwahi ukifundishwa hivyo Hata Leo Nashuhudia nipo Kwenye Ndoa. MUNGU amenipa ubavu wangu vifungo vimefunguka
Mimi na miaka 37 Nipo Dar
Huyu Pastor Richard Haombei Lakini Yeye Ukifika Huko Anakufundisha tu kupitia masomo yatakufungua kuendelea kusimama na Mungu Mfate WhatsApp Akupe Maelekezo Ya Kufika +255759861768
YUPO MKOA WA MOROGORO VETA DAKAWA  


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

MAOMBI YA USIKU WA MANANE 2025

KITABU IJUE NDOTO YAKO