Tangazo la Huduma

  TANGAZO
2022 Ni Mwaka Wa Masahihisho
Pastor Richard Pastor Richard Ndiooo Pastor Richard
Yupo Wapi Morogoro Veta Dakawa Ukitoka mizani kituo kinafhofata
Amekuwa akiwafungua watu na Kuwaponya Kupitia Mafundisho ya Neno la Mungu Yeye Haombei Anafundisha Neno la Mungu
Na Anakuelekeza Jinsi Ya Kujikomboa.   Mwenyewe Amepewa Kuona katika roho na kukutatulia Kupitia roho Ukifika kwa Pastor Richard utakaa siku Tatu kula utajigharamia pakulala Papo
Uje na notbook Pen Na Biblia

Kumuona na Kufundishwa Ni Buree Huduma zake hatozi Chochote Zaidi uje na Sadaka Yako ya Ukombozi Kiasi ulichojaliwa.
Akikuuliza mtu Mwambie Pastor Richard Wa Morogoro Moto unawaka Zaidi Ya Jana Twende Tukafundishwe Neno la Mungu Tupone.

Wahi mapema walete Ambao Wamefungwa nguvu ya Neno itawaponya Hana Imani ya maji au mafuta anaamini Neno la Mungu

MFATE Facebook
Seach Kanisa la Moto wa Yesu au Bishop Richard Tz

YouTube ; Kanisa la Moto wa Yesu

Tikitok;Kanisa la Moto wa Yesu

WhatsApp number+255759861768

ANGALIZO; KUEPUKA MATAPELI
Pastor Richard Haombei Kwenye Simu Pia Pastor Richard Yupo Morogoro veta Dakawa Pia Hachanji Pesa YOYOTE .
Pia Pastor Richard Hawezi kukurusha mtandaoni anavyokuombea
Au Picha yako mpaka umpe ruhusa hata Shuhuda ukiziona waliotendewa wamezituma ili wapostiwe.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.