SOMO; JINSI YA KUMSAINDIA MTU MLEVI

SOMO; JINSI YA KUMSAINDIA MTU MLEVI ASINYWE POMBE

Tusome;Zaburi 107:27
[27]Wayumba-yumba, wapepesuka kama mlevi,
Akili zao zote zawapotea.

mlevi Ni mtu anayetawaliwa na kiu ya Mpombe au Kilevi.
Maana ya Kilevi; Ni kitu Chochote CHENYE nguvu yakukulewesha.

KWA SABABU ZIPI ZIMEMFANYA ANYWE POMBE.
Fatilia ujue chazo Ni Nini kunywa POMBE.

1;NAKUNYWA KWA SABABU NAPATA PESA.
Inawezekana Anakunywa kwa Sababu Anashika Pesa
Basi unatakiwa Uwe Unachukua Pesa na Kuhakiki hakai na Pesa au Kuongea naye kushikilia wewe Pesa.

2:MARAFIKI NILIONAO WANANISHAWISHI.
Kwanza mwenyewe ajitambue asitembee na marafiki wasio na faida aachane nao mwenyewe.

3:NI URITHI KATIKA KIZAZI CHETU.
Kama amerithi Kutoka nyuma Basi Yeye mwenyewe anatakiwa aingie ajikomboe kwenye Mizimu Yao Maombi yakujikomboa kwenye Mizimu utayapata kwenye tovoti yangu 👉🏿www.mchungajirichardi.blogspot.com

4;NAKUNYWA KAMA STAREHE au  KUPUNGUZA MSONGO WA MAWAZO.
Kama huwa Anakuambia hivyo muulize hawezi kuamua kuacha kwa kuwa toka aanze kunywa heshima Yake inashuka Sura yake inachoka pia hata Mahitaji mhimu ndani hayapo.
Mshauri Kuhusu Mbele maisha Yenu mnatakiwa muweke kwa ajili ya Kesho.

5:MPE HASARA ZAKE ZA ULEVI.
Unajua hasara zake
1;Kushuka heshima yako
2:Kutokuendelea
3;Ndoa kuyumba kiuchumi.
4;Kugombana na watu

Kwa haya muelezee kwa upana ajue HASARA na umuulize Yupo Tayari kuwa na HASARA katika maisha Yake.

HITIMISHO
Ulevi ni chukizo mbele za Mungu wewe mwenyewe unayekunywa kubadilika.

WITO
Tumia Namba hizi Kumfata WhatsApp Pastor Richard+255759861768
Akupe maelekezo ya Kufika Kwenye Huduma hii

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.