SOMO:MAMBO MATANO UYAFANYE UKITAKA MME MWEMA

MAMBO MATANO UKITAKA MME MWEMA
MABINT.
Mithali;3:1-10
Naitwa Pastor Richard
Ninakukaribisha katika Darasa la mahusiano

1;Epuka Kuzini au Kukaa na mwanaume ambaye hajafata Taratibu au kujulikana.

2;Kuwa mtu wa ibada na manisha kuokoka asiache kanisa kwenda.

3;Jitambue na Ujituze vizuri jiepushe na watu wanaokushauri mabaya.

4:Jitengemee Kuwa na Kazi Yako inayoendesha nakukupatia mahitaji yako.

5;Usile Pesa Ya Mwanaume au Kuchukua chochote bure.

MAMBO HAYA BINT YASHIKE ILI UPATE MME MWEMA

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

MAOMBI YA USIKU WA MANANE 2025

KITABU IJUE NDOTO YAKO